Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe...
Kwani kuna tatizo gani kwenye maelezo hayo ndugu?
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe...
Kwani unadhani hapo Mdude cha tofauti na wengine ni hayo maneno makali anayotumia tu ndio kilichofanya uanzishwe uzi humu ila kama si hivyo mbona anachozungumzia ni kawaida tu.Naam. Kama tatizo ni mambo ya kisaikolojia, au matatizo ya afya ya akili sijui. Ila kama ndivyo, wale wasio na matatizo ya kisaikolojia hawana haja ya kushindana na mtu mwenye matatizo ya kisaikolojia.
Kwahiyo huyo Pinda alituma watu wakamkamate na kumlawiti Dr ulimboka?? Na wakati huo akiwa PM? yaan PM anatuma watu wakamlawiti Dr anayelilia maslahi au stahiki zake?Dk ulimboka alikua na lugha hizohizo kwa pinda kipindi suluhu ya mgogoro wa madaktari inatafutwa,pinda akamsihi kijana Mimi Nina umri wa baba Yako,ulimboka...
Umemalizaaaaa haswaaaa, waziri mkuu anatuma watu wakafanye vitendo vya Ushoga, hii ni nn??Kwa namna nyingine hapo unatoa taarifa rasmi kwamba ushoga unaungwa mkono na serikali, hivyo wananchi wakae mkao wa kula kwa sababu vyombo vya ulinzi na usalama ndiyo wapo frontline kutengeneza mashoga?
Watu wamechoka kuwa wastaarabu sasa,Ndiyo. Demokrasia nzuri ni ile inayoheshimu mila, utamaduni na desturi za jamii husika.
Sisi kutukana watu wazima hasa wakiwa wastaarabu kama mama siyo mila, utamaduni wala desturi zetu. Ndiyo maana huwa hatutukani wazazi wetu hata kama wakitukosea bali tunatumia lugha ya staha na heshima...
Halafu hapo umefunga una mdomo mchafu namna hii...Dk ulimboka alikua na lugha hizohizo kwa pinda kipindi suluhu ya mgogoro wa madaktari inatafutwa,pinda akamsihi kijana Mimi Nina umri wa baba Yako...
Sure mkuuNdiyo. Demokrasia nzuri ni ile inayoheshimu mila, utamaduni na desturi za jamii husika.
Sisi kutukana watu wazima hasa wakiwa wastaarabu kama mama siyo mila, utamaduni wala desturi zetu. Ndiyo maana huwa hatutukani wazazi wetu hata kama wakitukosea bali tunatumia lugha ya staha na heshima...
Hana lolote raisi wako huyo, mdude hanakosaWanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana, huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake, kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe...
Mwenye akili timamu ni yule anayeshindwa kutumia mamlaka yake badala yake anawaomba wampishe?huyu hana akili
I agree
Ni kweli Sandali..lakini kwa jinsi SH alivyotupambania upinzani tuwe na shukurani..tukosoane kwa stara...Tuache masihara.
Samia sometimes kama hajitambui.
Badala ya kuwachukulia hatua yeye anawaomba wampishe bila kutaja vyeo au majina yao.
Muktadha ni lugha na adhabu kwa wakubwaKwahiyo huyo Pinda alituma watu wakamkamate na kumlawiti Dr ulimboka?? Na wakati huo akiwa PM? yaan PM anatuma watu wakamlawiti Dr anayelilia maslahi au stahiki zake?
makubwaaaa.
Hebu elezea hiyo situation kwa maneno masafiHalafu hapo umefunga una mdomo mchafu namna hii...
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana, huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake, kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe .
Huyu mama siku akimchoka Mdude mjue ndio mwisho hatapiga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana.
USSR
Ni dude lisilo na hekima amepuuzwa tuWanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana, huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake, kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe .
Huyu mama siku akimchoka Mdude mjue ndio mwisho hatapiga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana.
USSR
Haswaaa,watu wanalipa kodi kwa jasho jingi sana ,harafu hapo hapo kuna watu wanatafuna tu hizo pesa na wanaishia kuitwa stupid [emoji849]Watu wamechoka kuwa wastaarabu sasa,