Ipo siku Rais Samia atamchoka Mdude

Ipo siku Rais Samia atamchoka Mdude

Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Huyu boya tangu atoke sero dish ni kama liliyumba hivi

Sijui huko sero walimfanya nini!?
 
Dk ulimboka alikua na lugha hizohizo kwa pinda kipindi suluhu ya mgogoro wa madaktari inatafutwa,pinda akamsihi kijana Mimi Nina umri wa baba Yako,ulimboka kwa uhuru wa maoni alioachia jakaya akaendelea na lugha hizi,wakamdaka,wakamtesa,wakamlawiti,akabaki kusema namwachia Mungu,Mdude tundu la haja kubwa linamuwasha
Mungu anakosolewa, aliowapa nywele fupi wanataka ndefu. Aliowapa rangi nyeusi wanataka wawe wazungu. Wengine wanabadili jinsia. Bora hata hao wengine wamekwenda mbali kidogo kwa KUTANGAZA kwamba HAKUNA MUNGU kabisa, na tunao humuhumu. Mama ni nani asikosolewe? Acheni ramli chonganishi. Samia siyo kama magu, Magu alijaribu kumnyamazisha mdude lkn haikuwa rahisi (huenda alichoka kuua). Watu kama mdude unapomtesa yeye ndo anafurahi zaidi, wameumbiwa KUKOSOA.
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Pengine suala linaweza kuwa Mdude kuwa mkweli kwa kupitiliza, na tatizo liwe linatokana na ukweli wake unapokelewaje na muhusika, chawa au wapambe wake.
 
Mungu anakosolewa, aliowapa nywele fupi wanataka ndefu. Aliowapa rangi nyeusi wanataka wawe wazungu. Wengine wanabadili jinsia. Bora hata hao wengine wamekwenda mbali kidogo kwa KUTANGAZA kwamba HAKUNA MUNGU kabisa, na tunao humuhumu. Mama ni nani asikosolewe? Acheni ramli chonganishi. Samia siyo kama magu, Magu alijaribu kumnyamazisha mdude lkn haikuwa rahisi (huenda alichoka kuua). Watu kama mdude unapomtesa yeye ndo anafurahi zaidi, wameumbiwa KUKOSOA.
Ukimtesa anafurahi? Hayo sio matatizo ya kisaikolojia?
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Yaani asimchoke Mwiigulu akamchoke Mdude?
Mdude atachokwa na nyei vyawa
 
Dk ulimboka alikua na lugha hizohizo kwa pinda kipindi suluhu ya mgogoro wa madaktari inatafutwa,pinda akamsihi kijana Mimi Nina umri wa baba Yako,ulimboka kwa uhuru wa maoni alioachia jakaya akaendelea na lugha hizi,wakamdaka,wakamtesa,wakamlawiti,akabaki kusema namwachia Mungu,Mdude tundu la haja kubwa linamuwasha
Hivi Ulimboka aliishia wapi?
 
Kwa namna nyingine hapo unatoa taarifa rasmi kwamba ushoga unaungwa mkono na serikali, hivyo wananchi wakae mkao wa kula kwa sababu vyombo vya ulinzi na usalama ndiyo wapo frontline kutengeneza mashoga?
 
Aisee! kama hawezi kumheshimu kama raisi basi amheshimu kama mzazi wake,atumie lugha yenye hekima.
Ndiyo. Demokrasia nzuri ni ile inayoheshimu mila, utamaduni na desturi za jamii husika.

Sisi kutukana watu wazima hasa wakiwa wastaarabu kama mama siyo mila, utamaduni wala desturi zetu. Ndiyo maana huwa hatutukani wazazi wetu hata kama wakitukosea bali tunatumia lugha ya staha na heshima. Kwa wazungu huko lilikotoka hili dude demokrasia kutukanana ni kawaida yao. Ndiyo maana katoto kadogo utakakuta kanatunishiana misuli na babake eti "f*ck you dad!"

Japo kukosoa ni haki yetu ya kikatiba, mbona tusifanye hivyo kwa kuzingatia mila, desturi na utamaduni wetu? Mdude akimkosoa huyu mama kwa heshima atapungukiwa na nini?
 
Kwenye hili kweli Mdude hajakosea. Watu tunakomaa kulipa kodi kwa wakati halafu wachache wanakula na familia zao. Halafu wanaendelea kupeta tu. Inaumiza sana
 
Mdude peponi moja kwa moja
Na dhambi zake ntabeba mimi kwa hilo
 
Ogopa mtu asietaka kufanya ukamlazimisha kufanya it will be a massacre
Acheni upumbavu wenu, nyie ndio wezi wa mali za umma, Mdude yuko sahihi kabisa na watanzania tunaojitambua tunahitaji Mama achukue hatua kali sana but akishindwa why asijiuzulu ili aje mtu anaeweza kusimamia na kulinda mali ya nchi?

Samia anaonyesha udhaifu kwakweli, kabla hajamchoka Mdude ajue watanzania tayari tumeshamchoka, hivi unakuaje Mkuu wa nchi usiyekuwa na maumivu makali pamoja na huruma kwa raia wako?

Mdude go go ahead tumekuruhusu make tumechoka Sasa, hawa debe tupu wanaopiga kelele humu kukuchongea kwa Mama hawa ndo wajinga majizi wasiojitambua wala rushwa wanaamini katika kutekana, kuua, na kupoteza kama alivyo kuwa akifanya baba yao
 
Ogopa mtu asietaka kufanya ukamlazimisha kufanya it will be a massacre
Acheni upumbavu wenu, nyie ndio wezi wa mali za umma, Mdude yuko sahihi kabisa na watanzania tunaojitambua tunahitaji Mama achukue hatua kali sana but akishindwa why asijiuzulu ili aje mtu anaeweza kusimamia na kulinda mali ya nchi?

Samia anaonyesha udhaifu kwakweli, kabla hajamchoka Mdude ajue watanzania tayari tumeshamchoka, hivi unakuaje Mkuu wa nchi usiyekuwa na maumivu makali pamoja na huruma kwa raia wako?

Mdude go go ahead tumekuruhusu make tumechoka Sasa, hawa debe tupu wanaopiga kelele humu kukuchongea kwa Mama hawa ndo wajinga majizi wasiojitambua wala rushwa wanaamini katika kutekana, kuua, na kupoteza kama alivyo kuwa akifanya baba yao
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Lakini habari hizi nyie Sukuma Gang si ndiyo mnazipenda?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Kuna watu wapo kama wanawake wa kikurya bila kumtandika haoni kama unampenda,sasa huyo jama naona lime-miss vipigo vya mbwa mwizi na kukoswa koswa kuuliwa baada ya kutekwa na kuteswa,jinga sana.
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Mdude kabadilika sana. Kwenye hili kaacha matusi. Katumiaa maneno ya kweli na Kwa utulivu mkubwa.
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR

Ni kweli kabisa ka pwaya
 
Back
Top Bottom