Ipo siku Rais Samia atamchoka Mdude

Ipo siku Rais Samia atamchoka Mdude

Kutishana ni old version
Kosa lake liko wapi hapo..? Au unataman mdude akupe dude
Dk ulimboka alikua na lugha hizohizo kwa pinda kipindi suluhu ya mgogoro wa madaktari inatafutwa,pinda akamsihi kijana Mimi Nina umri wa baba Yako,ulimboka kwa uhuru wa maoni alioachia jakaya akaendelea na lugha hizi,wakamdaka,wakamtesa,wakamlawiti,akabaki kusema namwachia Mungu,Mdude tundu la haja kubwa linamuwasha
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Mlizoea siasa za kizamani za uonevu.
Usimfundishe SAMIA ushamba wenu.
She knows exactly how to govern.
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Chadema nzima ni mdude pekee aliweza kupambana na Magu kwa matusi mazito na JPM akanyoosha mkono na akaendelea na mambo mengine kwasabu kushindana na kichaa siyo jambo jepesi.
Unadhani Sa100 atamweza na uoga wake.
 
Yani kweli unategemea rais Samia aanze kukimbizana na kichaa, ili iweje? Watu wote tunajua (hata makamanda wenzie wanajua) kuwa mdude hazimtoshi (kama lisu), sasa rais aanze kuparurana naye ili iweje?
Rais ana mambo mengi ya msingi ya kufanya, siyo kushughulika na vichaa. Hao watashughulikiwa na dada Ummy.
 
Shida ya Mdude mdomo wake hauna break, au keyboard yake haina break.

Kukosowa ni muhimu sana, lakini mtu mstaarabu kama mama unamkosowa kwa lugha za kiungwana.

Yule shetani wa Chato ndio alistahili kukosolewa in a radical way kwa sababu hakuwa mstaarabu.

Uko sahihi, lakini watu wote hawawezi kufanana kwenye approach ya ukosoaji.
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Shida iko wapi??
 
Mi nampenda Mama, lakin suala la kusema "watupishe" badala ya kuwapa suluba.. imenisikitisha sana
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Atakuja kujuta anadhani kinachoitwa Demokrasia kitamuokoa.Mda utasema.

Raia hawezi fanya maamuzi Kwa kukurupuka na CAG sio Mahakama amejenga hoja Hadi hoja zake zithibitike na vyombo husika ndio inakuwa criminals.
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .

Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana

USSR
Ni Siasa ya kidemokrasia
 
Fair comment, akiazibiwa kwa kauli hiyo ni kumuonea
 
Ila kama watu wanaiba mabilioni wanaishia tu kuitwa stupid sijui hapo kosa la Mdude ni lipi?!.
Wengi tunatamani hiyo fursa ya kuitwa stupid nasi tuwe mabilinea...sio kakikundi kadogo tu kenye nasaba na Msoga!.
 
Back
Top Bottom