Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,765
Utajua wewe na Bibi yakoShetani Jiwe ndio alikuwa anaua watu
Utajua wewe na Bibi yakoShetani Jiwe ndio alikuwa anaua watu
huyu hana akiliWanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .
Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana
USSR View attachment 2575483
Tumpe urais bbasha wako bas? auKwa Rais tumepigwaaaaa
Mdude kasema ukweli. Samia amepewa madaraka na hajui kama yeye ni raisiWanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .
Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana
USSR
Mdude yupo sahihi Hata CCM wanalijua hiloWanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .
Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana
USSR
Mukiwekwa kwenye viroba na system mnaanza kulialia!Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .
Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana
USSR
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana , huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake ,kama unabisha muulize Diwani Athumani na mbowe .
Huyu mama siku akimchoka mdude mjue ndio mwisho hata piga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana
USSR
Shida ya Mdude mdomo wake hauna break, au keyboard yake haina break.Mmejizoesha sifa za kinafiki, hadi mkisikia lugha ngumu mnaishia kuchanganyikiwa, na kuanza kufikiria kuteka tu.
Mukiwekwa kwenye viroba na system mnaanza kulialia!
huyu hana akili