Ipo siku Rais Samia atamchoka Mdude

Ipo siku Rais Samia atamchoka Mdude

Mmejizoesha sifa za kinafiki, hadi mkisikia lugha ngumu mnaishia kuchanganyikiwa, na kuanza kufikiria kuteka tu.
Kweli nimelitafuta tusi sikuliona zaidi ya neno kuchamba 😅 !!
 
Mimi siipendi ccm lakini nampenda mama pia namuombea msamaha mdude mbele ya mama na system pia namuomba mama na system wawe wavumilivu Kwa wakosoaji!!
Huyu dogo anashida ngoja eende alanyee debe hafikirii hao mabosi wake wako kimya
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana, huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake, kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe .

Huyu mama siku akimchoka Mdude mjue ndio mwisho hatapiga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana.

USSR
Hapo kaongea kipi cha uwongo,uliona wapi wazi wanaambiwa stupid
 
Yuko huru kutoa mawazo yake.cha mhimu katika matusi yake lazima kuna la maana kaongea.cha kufanya ni kuchukua la maana na matusi kumuachia mwenyewe mdude
 
Haswaaa,watu wanalipa kodi kwa jasho jingi sana ,harafu hapo hapo kuna watu wanatafuna tu hizo pesa na wanaishia kuitwa stupid [emoji849]

Mdude yupo sahihi kabisa ,mana mtanzania ukimweleza kwa namna ya kujikomba komba kwake bado atakuona choo tu,bora apewe makavu atambua pia kuna watu ni zaidi ya mdude huku
Amepwaya sana ,watu wanalipa kodi kwa shuruti kubwa harafu wengine wanazifinyanga tu eti kisa wana dhamana

Haiwezekani wote tukawa viongozi ,ila kuwa kiongozi sio ndo ufanye vile unajisikia,ukikosea kosolewa,ukiona umeonewa kwa maneno achia ngazi .

Kama maneno tu yanauma namna ile vipi vitendo vibaya vinavyowaumiza walala hoi na masikini

Watu wanakula mlo mmoja harafu pesa zinapukutishwa na wachache ,f*uck
Ongezaaaa sautiiiiiiiii ifike hadi kwenye kasri nyeupe iliyopo magogoni na Chamwino..

Tumechokaaaaaa
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana, huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake, kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe .

Huyu mama siku akimchoka Mdude mjue ndio mwisho hatapiga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana.

USSR
Ukimchoka mtu ambaye hana cha kupoteza ni kujidanganya na dunia tu hata ukimuua maana umeshika makali na wewe utakufa na mtakutana huko na kuanza kula makofi,
 
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana, huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake, kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe .

Huyu mama siku akimchoka Mdude mjue ndio mwisho hatapiga Makele kama ya mwendazake itakuwa kimyakimya sana.

USSR
Kama sio Rais wa kusimamia kiapo chake cha kulinda raia na malizao atamchoka kweli
 
Mkuu mmeanza kuchongeana ingekua zama zile wangetafutwa nyuma ya keyboard ⌨️⌨️
Sijamchongea Mimi nime-point tu aliachia uzi humu kumwambia mama anaongea maneno matupu bila vitendo ndio hivyo mkuu wala sijamchongea kwa mama Carlos The Jackal najua mama alipita akasoma kwa hio haisumbui alishamwelewa alimaanisha nini
 
Back
Top Bottom