Ipi simu nzuri ya OPPO

Ipi simu nzuri ya OPPO

Avechi wanatuma, sema kila siku wanabadilika hawa jamaa. Kuna kipindi walikuwa wanatuma unapokea Ubungo, then wakasitisha, then kipindi fulani wakawa wanatuma tena ila Gharama around 50,000 kwa sasa sifahamu gharama zipoje.

Alternative muagizie mtu ambaye yupo kule, itakuwa bei rahisi, kuna mdau anaagizishia humu Sam pizzo
Ahsante mkuu
 
Kenya around 380,000 kwa 64GB, hapa Tz sijajua Tigo kama wamei restock, maana walikuwa na Version ya 128GB 6GB ram tu. Unaweza pitia Tigoshop yoyote kuulizia.
Redm note 11 (4/64)
Naambiwa bei yake 490k, vp ni kawaid kwa hyo bei au ipo juu kdg
 
Ni kweli kabisa..chaja za S22 ultra zinagonga mpk 150k
Hata Oneplus Latest warp charger ni $35 huko kwao, Madukani hapa ni 150k, na Haikubali fast charging ya kampuni nyengine tofauti na za BBK.
 
Back
Top Bottom