Ipi simu nzuri ya OPPO

Ipi simu nzuri ya OPPO

Lg g8x ni flagship ya zamani kama Note 9, hivyo ina vitu ipo juu ipo vizuri na vitu inapitwa.

Mfano kioo chake ni oled ila sio 120hz ni 60hz. Perfomance ni zaidi ya note 9, sina uhakika camera ila probably ni tier moja. Unique features za LG ni Audio, ina 3.5mm jack, quad Dac kwa ajili ya Earphone premium, stereo speaker juu na Chini, na pia ina sd card slot.

Wekaness kubwa ya lg g8x ni fast charge inatumia takriban saa 1 na dk 40 kuwa full charge, simu nyingi za kisasa ni dk 30 mpaka saa 1.
Mjomba una madini sana aiseee.... Appreciate comment 🤏
 
Lg g8x ni flagship ya zamani kama Note 9, hivyo ina vitu ipo juu ipo vizuri na vitu inapitwa.

Mfano kioo chake ni oled ila sio 120hz ni 60hz. Perfomance ni zaidi ya note 9, sina uhakika camera ila probably ni tier moja. Unique features za LG ni Audio, ina 3.5mm jack, quad Dac kwa ajili ya Earphone premium, stereo speaker juu na Chini, na pia ina sd card slot.

Wekaness kubwa ya lg g8x ni fast charge inatumia takriban saa 1 na dk 40 kuwa full charge, simu nyingi za kisasa ni dk 30 mpaka saa 1.
yaani mimi nashangaa sana karibu flagships zote za lg zina sd card slot ila hzi kampuni nyingine ni ngumu sana kukuta hilo.
 
yaani mimi nashangaa sana karibu flagships zote za lg zina sd card slot ila hzi kampuni nyingine ni ngumu sana kukuta hilo.
Hata Sony Mkuu zina sd card, sema bei zake zinahitaji mtu anaejiweza kidogo.

Na Asus pia wana model za Sd card
 
Ninabudget ya 400k
Nichukue simu gani??
vipaumbele
Performance
Kukaa na charge
Kioo kiwe kizuri.
Kwa matumizi ya kawaida.

CHIEF:
 
Simu kukaa na Chaji si Brand bali specification husika. Zipo oppo zinakaa na Chaji na zisizokaa na Chaji. Na ukubwa wa Battery ni kigezo ila haimaanishi battery likiwa kubwa basi automatic na simu inakaa na chaji. Kuna simu zina hizo mah za kutosha na hazikai na chaji kama zenye Mah ndogo.
Sijawahi ona oppo ambayo haikai na charge mkuu😂 ipi hio ambayo ulinunua ikawa haimalizi siku bila kuchaji na je ilikuwa brand new?
 
Bajeti ingekua nzuri ungedaka series ya inaitwa Reno sa hv wako kwenye Reno 7 na Reno 7 pro, flagship yao ya X series ni expensive sana na sijawahi kuiona bongo!

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Wabongo sijui kwanini X series hatuna. Ila Reno zimetulia na very slim hazina hata uzito
 
Nikiangiza kenya iko sawa ni Ile iliyoko Tigo shop hapa tz.
Kenya nmeiona ina ram 4 na 64gb kwa bei hii.
Model za kenya ni International version kama za Huku. Pia Redmi 11 ni hio unless imekuwa specified vyengine.
 
Back
Top Bottom