jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 4,479
- 11,482
Utaratibu wa kuipata huko kenya ukoje?Ni mambo ya kenya Mkuu.
Utaratibu wa kuipata huko kenya ukoje?Ni mambo ya kenya Mkuu.
Avechi wanatuma, sema kila siku wanabadilika hawa jamaa. Kuna kipindi walikuwa wanatuma unapokea Ubungo, then wakasitisha, then kipindi fulani wakawa wanatuma tena ila Gharama around 50,000 kwa sasa sifahamu gharama zipoje.Utaratibu wa kuipata huko kenya ukoje?
Pia nimewacheki Tigo redmi note 11 ni Ghali sababu wana version ile kubwa kabisa ya 128GB kwa 6GB, hawana 64GB kwa 4GB.Utaratibu wa kuipata huko kenya ukoje?
Ivi mkuu value for money kati ya Redmi 10c na Note 11 ipi ya kuchukua Kwa kuzingatia iyo factor?!Pia nimewacheki Tigo redmi note 11 ni Ghali sababu wana version ile kubwa kabisa ya 128GB kwa 6GB, hawana 64GB kwa 4GB.
Redmi 10C ipo kwa 350,000 hii ina same soc kama note 11 ila wame downgrade Display, fast charging, camera etc.
Redmi 10C ipo Tigo kwa 350,000 na unapata GB zako za mwaka. kama unaangalia pure perfomance point of view basi redmi 10C ni nzuri zaidi.Ivi mkuu value for money kati ya Redmi 10c na Note 11 ipi ya kuchukua Kwa kuzingatia iyo factor?!
Nataka kuorder Ila zote zinatumia 600series soc
Redmi 10C ipo Tigo kwa 350,000 na unapata GB zako za mwaka. kama unaangalia pure perfomance point of view basi redmi 10C ni nzuri zaidi.
Ila overall redmi note 11 ni nzuri maana ina quality of life kubwa kama display ya Amoled full hd, fast charging, speaker nzuri etc.
Hapana.hivi oppo zote huwa zinakuja na earphones?
kuna simu inayokuja ikiwa mpya na imefungashwa kwenye box lake bila earphones kweli? inakuwaje?Hapana.
Zipo nying tu hawaweki hasa za gharama ya juu kdg na Kuna baazi za gharama za juu Sana hawaweki hya chaja Mana wanaamin Kam unaweza kununua simu ya million na Zaid huwez kushindwa kununua chaja ya 45k, Kwahy ni kawaida Sana ckuhz na pia ni kutanua wigo mpana wa biashara kwaokuna simu inayokuja ikiwa mpya na imefungashwa kwenye box lake bila earphones kweli? inakuwaje?
Kamera bora,Redmi 10C ipo Tigo kwa 350,000 na unapata GB zako za mwaka. kama unaangalia pure perfomance point of view basi redmi 10C ni nzuri zaidi.
Ila overall redmi note 11 ni nzuri maana ina quality of life kubwa kama display ya Amoled full hd, fast charging, speaker nzuri etc.
Issue ni kwamba simu ya Milioni chaja yake ngumu kuipata Bei rahisi, Nyingi ni laki kupanda.Zipo nying tu hawaweki hasa za gharama ya juu kdg na Kuna baazi za gharama za juu Sana hawaweki hya chaja Mana wanaamin Kam unaweza kununua simu ya million na Zaid huwez kushindwa kununua chaja ya 45k, Kwahy ni kawaida Sana ckuhz na pia ni kutanua wigo mpana wa biashara kwao
Haikufai mkuu, Kioo chake ni 720p, perfomance si nzuri na Helio G35,Kamera bora,
Kutunza chaji vzur,
Kioo kizur,
Ubora kwa ujumla,
Memory hta 4/64 tu inanitosha.
Mkuu hvo ndo vipaumbele vyangu vp oppo a55 inaweza kunifaa ??
Nb: nmeichagua hyo kwakuwa naweza kupata kwa urahisi na unafuu wa bei pia kulingana na bajet yang
Duuuh bajet yangu haizid 500k mkuu Kwahy ipi itanifaaHaikufai mkuu, Kioo chake ni 720p, perfomance si nzuri na Helio G35,
Chaji inakaa na Camera itakuwa nzuri kwa Class yake.
Budget kiasi Gani?
Simu ambayo utaipata kirahisi ni redmi note 11, battery nzuri, kioo cha Amoled, perfomance si kubwa sana ila ni nzuri, na camera ukiweka Gcam ni nzuri. Sababu budget ni kubwa utapata version ya 128GB.Duuuh bajet yangu haizid 500k mkuu Kwahy ipi itanifaa
Mfano oppo ipi unayoikubal sanOppo ipo vzr especially
Inauzwaje redm note 11 yenye memory ndogo man memory sio kipaumbele changu kwasasaSimu ambayo utaipata kirahisi ni redmi note 11, battery nzuri, kioo cha Amoled, perfomance si kubwa sana ila ni nzuri, na camera ukiweka Gcam ni nzuri. Sababu budget ni kubwa utapata version ya 128GB.
Kama unaagizishia online tafuta simu zenye Snapdragon 695, nyingi ni around hio laki 5, kuna Iqoo U5, Motorola G71, Vivo T1 etc
Kenya around 380,000 kwa 64GB, hapa Tz sijajua Tigo kama wamei restock, maana walikuwa na Version ya 128GB 6GB ram tu. Unaweza pitia Tigoshop yoyote kuulizia.Inauzwaje redm note 11 yenye memory ndogo man memory sio kipaumbele changu kwasasa