Asipo zingatia hili bora thread iishie hapa tu...Model ni nyingi sana. Kuna Oppo za hadi 3M na kuna Samsung za hadi 3M pia.
Ungesema model husika au budget yako ndio tungejua tuanzie wapi.
Punguza uongoSamsung wooote ni wabovu kwenye charge
We ushatumia samsung zote?Samsung wooote ni wabovu kwenye charge
Huyo jamaa aisee muongo kweli.wakati kuna samsung A02 ina Amh 5000!kwa chaji ni balaa na data full time onPunguza uongo
Oppo ndio simu gani na Samsung ndio simu gani?Habar wa kuu.
Naitaji kujua kati ya simu za Oppo na Samsung ipi nzuri kutumia na ipi ya gharama nafuu.
Ipi yenye ubora wa chaji.
Oppo ndio simu gani na Samsung ndio simu gani?
Hayo ni makampuni? Nagugo nini?
Google ulicho ulizaHayo ni makampuni? Nagugo nini?
Zipo nyingi tu sema huyo jamaa amekalili uongo.Huyo jamaa aisee muongo kweli.wakati kuna samsung A02 ina Amh 5000!kwa chaji ni balaa na data full time on
Hyo ni aina gani ya simu?uliyoandikaKwa charge hata shamesung ikiwa na 10000mAh ni bora uchukue Oppo yenye 5000mAh! Utanishukuru baadae
YahZipo nyingi tu sema huyo jamaa amekalili uongo.