Ipi simu nzuri ya OPPO

Ipi simu nzuri ya OPPO

Naipenda Tecno yangu
Screenshot_20220327-191209.png
 
Bajeti ingekua nzuri ungedaka series ya inaitwa Reno sa hv wako kwenye Reno 7 na Reno 7 pro, flagship yao ya X series ni expensive sana na sijawahi kuiona bongo!

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Vp kwa upande wa chaj inakaa sana kama oppo?
Simu kukaa na Chaji si Brand bali specification husika. Zipo oppo zinakaa na Chaji na zisizokaa na Chaji. Na ukubwa wa Battery ni kigezo ila haimaanishi battery likiwa kubwa basi automatic na simu inakaa na chaji. Kuna simu zina hizo mah za kutosha na hazikai na chaji kama zenye Mah ndogo.
 
Kwa android oppo ndio brand yangu

Nimetumia oppo nyingi ila kwa nilizo zi admire na kwa unazotafuta hizi zitakufaa
A92 hii nilinunua ilipotoka tu ilikua na 720k lakini kwa sasa nahisi imeshuka

A52 hii ilikua na 530k itakua imepungua pia

Reno 2 ilikua na 900k

Ila nimeiona Reno 5 ni bomge ya sim najivuta nichukue Reno 5

Kinachonifurahisha kwa Oppo ni brand ya tofauti na android zingine it somehow resemble to ios
Oppo will never resemble to ios.
 
Simu kukaa na Chaji si Brand bali specification husika. Zipo oppo zinakaa na Chaji na zisizokaa na Chaji. Na ukubwa wa Battery ni kigezo ila haimaanishi battery likiwa kubwa basi automatic na simu inakaa na chaji. Kuna simu zina hizo mah za kutosha na hazikai na chaji kama zenye Mah ndogo.
mzee niko na note 9 samsung nataka kushift kwengine kulingana na vipengele hpo chini

1. camera ya maana

2. battery ya kukaa na charge vyakutosha

3. kioo cha super amoled/oled 90hz/120hz

4. memory card slot support

5.network technology nzuri

6. perfomance nzuri

bugdet yangu ni 700000tsh

simu iwe used ama mpya
 
Memory card support itakulimit choice nyingi, ukitoa hicho kipengele oneplus 8 inakufaa, sometime mpya unapata kwa hio Budget, ikiwa kwenye sale ($250).

Pia kuna simu za snapdragon 778G, hizi simu ni midrange camera nzuri ila sio flagship level, perfomance nzuri kushinda note 9, ukaaji wa chaji mkubwa sana, amoled 120hz, baadhi zina sd card.

Utazipata kenya ama Aliexpress.
-Samsung M52 kwa 756,000
-Realme GT master kwa 716,00
-xiaomi 11 lite 5G ne kwa 675000

Na kama unaweza kuongeza kidogo mpaka laki 8 hivi unapata Samdung A52s ambayo ina features zaidi kama Water proof.
 
so hzo zote ni bora kuliko hii note 9 karibu angle zote sio??

pia nimecheki hyo samsung m52 haina feature ya OIS upande wa camera

itafaa kweli kwnye video recording??
 
M52 ni A52s iliotolewa features ili kupunguza bei.

Note 9 display yake ni kali Amoled 1440p sema haina high refresh rate, hizo simu za juu amoled yake ni 1080p tu ila zima high refresh rate. Unapata picha hapo.

Perfomance zote hapo juu zipo vizuri kuliko note 9.

Na camera kwa ois A52s inayo.

Pia mkuu ifikirie tena oneplus 8 ni simu ambayo ipo vizuri kuliko zote huko juu karibia kila idara kasoro sd card, na storage yake ndogo kabisa ni 128GB.
 
daaaah yaani mimi kuishi bila sd card ni ngumu sana

ngoja niwaze tena
 
Chukua hata 256GB version hio op8.

Alternative ipo LG V60 ina sd card sema hii simu band zake sijazielewa kabisa, sijaifanyia utafiti zaidi kama unaweza kuzi unlock.

Lg g8x ipo fresh sana ni nzuri kuliko note 9, sema budget yako ni kubwa, unless unataka kusave zaidi.
 
hii lg8x iko same class na hzo m52 na a52s?
 
Lg g8x ni flagship ya zamani kama Note 9, hivyo ina vitu ipo juu ipo vizuri na vitu inapitwa.

Mfano kioo chake ni oled ila sio 120hz ni 60hz. Perfomance ni zaidi ya note 9, sina uhakika camera ila probably ni tier moja. Unique features za LG ni Audio, ina 3.5mm jack, quad Dac kwa ajili ya Earphone premium, stereo speaker juu na Chini, na pia ina sd card slot.

Wekaness kubwa ya lg g8x ni fast charge inatumia takriban saa 1 na dk 40 kuwa full charge, simu nyingi za kisasa ni dk 30 mpaka saa 1.
 
Back
Top Bottom