MANAKE MKARI
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 321
- 268
Wapi huko??Njoo huku shamba, hewa ya kutosha
Wapi huko??Njoo huku shamba, hewa ya kutosha
Kimara/ mbezi 👍Habari zenu wana JamiiForums!
Ningependa kupata maoni kwa wadau katika kuchagua eneo la kuishi. Kuna ndugu yangu anataka kujenga kabisa, viwanja anasema vipo poa kapata maeneo haya;
1. Kigamboni (mjimwema, gezaulole, kisiwa)
2. Kimara
3. Mbezi mwisho
4. Kitunda
5. Goba
Hivyo viwanja maeneo hayo yote anasema dalali kamwambia ni swala la yeye kuchagua eneo, kote vipo anapelekwa mda wowote.
Je, ni sehemu gani nzuri ya kuishi?
Sio tatizo kaka sahv mwendokasi mpaka kibaha anawasiwasi ganIla yeye mishe zake anasema zitakuwa maeneo ya posta.