Baada ya Keneth Mkapa nani mwingine, inaonekana baada ya Keneth sisi tulijifunza lakini nyie hamtaki kujifunza kila siku mnataka vilabu viwe na migogoro na wachezaji. Amir, Lunyamila, Banka na Amri Kiemba mliwaacha wenyewe nasi ndo tukawachukua.Nyani haoni kundule, mbonaHata Nyie mlimsajiri K.mkapa bila utaratib ingawa mlichemsha.Alafu ni sie tulie waachiaga kisiki Amir maftah katikati ya msimu...