Ipi sahihi sasa, mbona sahihi hazifanani ama ni macho yangu.

Nyani haoni kundule, mbonaHata Nyie mlimsajiri K.mkapa bila utaratib ingawa mlichemsha.Alafu ni sie tulie waachiaga kisiki Amir maftah katikati ya msimu...
Baada ya Keneth Mkapa nani mwingine, inaonekana baada ya Keneth sisi tulijifunza lakini nyie hamtaki kujifunza kila siku mnataka vilabu viwe na migogoro na wachezaji. Amir, Lunyamila, Banka na Amri Kiemba mliwaacha wenyewe nasi ndo tukawachukua.
 
HATA MFANYE NINI HAITAFUTA ZILE 5-0

Yanga+yabamizwa+5-0+na+Simba.JPG
 
Baada ya Keneth Mkapa nani mwingine, inaonekana baada ya Keneth sisi tulijifunza lakini nyie hamtaki kujifunza kila siku mnataka vilabu viwe na migogoro na wachezaji. Amir, Lunyamila, Banka na Amri Kiemba mliwaacha wenyewe nasi ndo tukawachukua.

Mkuu unawalaumu bure Yanga hao madogo wenu wanawafuata wenyewe Viongozi wa Yanga na kuwaambia kama wako available mikataba yao imeisha au inakaribia kuisha sasa unategemea nini?
Halafu sasa get prepared to be shocked,real shocked....nafikiri hiyo itam'cost hata (Maha)Rage,chezea Yanga nyie....!
 
Wee angalia hata handwriting yake kwenye Form zote 2 ndo utajua kuna uhalali wa sahihi kutofautiana katika Form hizo,mwacheni aje Jangwani na Twiga anufaike na mipango endelevu ya uongozi mpya wa Yanga,kwanza tutampeleka QT(Elimu ya O-Level kwa miaka mi'2) kwahiyo hata akitaka ku'sign team 2 tena baada ya huu mkataba wake kumalizika Signatures zake hazitatofautiana tena kwani atakuwa ameshajua kuumba herufi vizuri.

ha ha ha ha h ah aha h ahha ha ni kweli huu si muda wa kugombania wachezaji simba wamwache aende zake jangwani na kwa kuwa mtampeleka na shule hiyo safi kweli mna mipango endelevu.Ila msimtuhumu tu siku mkikutana na mnyama kwa kuwa wabongo hawacchelewi kuanzisha timbwili
 
Hebu nifahamisheni: Rage anasema Yondani ana mkataba, mbona hauonyeshi? Badala yake anaonyesha mkataba "feki" wa Yanga! Inasemekana kuwa hata Okwi hana mkataba na M-Nyange Kaburu anakimbizana naye mitaa ya Kampala ili asaini! Dogo kakomaa, anadai M.20 za msimu uliopita na anataka aongezewe M.30 ili asaini mkataba mpya! Kali ya mwaka anamwambie M-Nyange kuwa wazee wa fuko lenye fuba (tehe tehe), weshaziweka mezani!
 
achaujinga unajuaje kama ya yanga ndiyo sahihi, Rage ni kiboko yenu..umeyaona majina ya kelvin Patrick Yondani iliyoandikwa yanga unajua kajaza form amezaliwa mwaka gani...yanga mmeliwa

Huku mtaani kwetu Mwenge, jamaa wanasema baada ya kuwasajili Yondani, Okwi na wengineo kutoka Simba, Yanga wana mpango wa kumsajili maha-Rage ili awasaidie mambo ya sheria, maana ni mkali sana kwenye mambo hayo ya sheria ingawa nashangaa kwanini alilamba mvua kadhaa kule Sega Dance! :majani7:
 
Ila binafsi sioni sababu ya simba kupanic kuondoka kwa Yondani, wa mwache aende yanga tu kwani kuna kipindi walisha wahi kumsimamisha na wakacheza nusu msimu bila Yondani ikiwa na maana wana watu wa kuziba nafasi ya yondani.
 
Mkuu unawalaumu bure Yanga hao madogo wenu wanawafuata wenyewe Viongozi wa Yanga na kuwaambia kama wako available mikataba yao imeisha au inakaribia kuisha sasa unategemea nini?
Halafu sasa get prepared to be shocked,real shocked....nafikiri hiyo itam'cost hata (Maha)Rage,chezea Yanga nyie....!
Mkuu nini tena hicho, leta story.
 
Hebu nifahamisheni: Rage anasema Yondani ana mkataba, mbona hauonyeshi? Badala yake anaonyesha mkataba "feki" wa Yanga! Inasemekana kuwa hata Okwi hana mkataba na M-Nyange Kaburu anakimbizana naye mitaa ya Kampala ili asaini! Dogo kakomaa, anadai M.20 za msimu uliopita na anataka aongezewe M.30 ili asaini mkataba mpya! Kali ya mwaka anamwambie M-Nyange kuwa wazee wa fuko lenye fuba (tehe tehe), weshaziweka mezani!
Oooooooooooo!ngoja nimpigie manji amtumie ticket faster aje alambe 80m leo leo kha!
 
Hii ndio sababu ya Yanga kupitisha katapila msimbazi.

Mpaka wajute kuifunga Yanga yenye migogoro 5
Napenda kuchukua nafasi hii tena kuwatangazia FANS wote wa Simba Sports Club to get ready for shock,real shock...chezea Yanga nyie.
 
Mkuu nini tena hicho, leta story.

Mkuu its gonna be a big schock to Simba's Fans wote,huruma...sijui nikwambie....anyway nitakuambia,najua katika stage hii hakuna chochote kitakachoharibika kwani Wazee wa Fuba wanatembea na yale Magari ya Security Company ya kusafirishia fedha ni mwendo wa Cash-Cash tu,nyie si mlikuwa mnawalipa wachezaji wenu pesa kidogo wameshindwa hata ku'maintain Bank's accounts sasa wanabebeshwa viroba hivyohivyo wata'bank mbele ya safari.
Mkuu...ni kwamba habari za ndani kabisa zinasema kumbe mkataba wa Okwi unaisha siku chache zijazo this month na Simba wanahaha ile mbaya kumsainisha mkataba mpya ili wawe na haki ya kusimamia zile figure walizokuwa wanaziropoka sijui billioni 2,mara billioni 1,sasa trial ya kwanza ya Kaburu ime'fail kenda Uganda am'sainishe nasikia Mshikaji kasema bila balance yake ambayo alikuwa anaidai Simba mwaka jana na Fuba la msimu huu inayotengeneza jumla ya kama 50M hivi hasajili form ya mtu,inasemekana Wazee wa kuzunguka na gari la kusafirishia fedha wamemuahidi kumpa hiyo hela ikiwa ni pamoja na kulipa madeni yote anayoyadai,lile la Simba la mwaka jana na hadi posho anazodai team ya Taifa "The Cranes" na mengineyo yeyote yale,kuna nini tena hapo Mtani zaidi ya kusubiri picha Okwi aki'sign Form za Jangwani?
 
Hebu nifahamisheni: Rage anasema Yondani ana mkataba, mbona hauonyeshi? Badala yake anaonyesha mkataba "feki" wa Yanga! Inasemekana kuwa hata Okwi hana mkataba na M-Nyange Kaburu anakimbizana naye mitaa ya Kampala ili asaini! Dogo kakomaa, anadai M.20 za msimu uliopita na anataka aongezewe M.30 ili asaini mkataba mpya! Kali ya mwaka anamwambie M-Nyange kuwa wazee wa fuko lenye fuba (tehe tehe), weshaziweka mezani!

Na mimi nimeipata hii Mkuu,pale Msimbazi nasikia hali ni tete 1 haikai 2 haikai,Maha(Rage) kaitisha kikao cha dharura na Friends of Simba kuangalia namna watakavyoweza kuzuia dhahma inayokaribia kutangazwa siku chache zijazo
 
Mkuu its gonna be a big schock to Simba's Fans wote,huruma...sijui nikwambie....anyway nitakuambia,najua katika stage hii hakuna chochote kitakachoharibika kwani Wazee wa Fuba wanatembea na yale Magari ya Security Company ya kusafirishia fedha ni mwendo wa Cash-Cash tu,nyie si mlikuwa mnawalipa wachezaji wenu pesa kidogo wameshindwa hata ku'maintain Bank's accounts sasa wanabebeshwa viroba hivyohivyo wata'bank mbele ya safari.
Mkuu...ni kwamba habari za ndani kabisa zinasema kumbe mkataba wa Okwi unaisha siku chache zijazo this month na Simba wanahaha ile mbaya kumsainisha mkataba mpya ili wawe na haki ya kusimamia zile figure walizokuwa wanaziropoka sijui billioni 2,mara billioni 1,sasa trial ya kwanza ya Kaburu ime'fail kenda Uganda am'sainishe nasikia Mshikaji kasema bila balance yake ambayo alikuwa anaidai Simba mwaka jana na Fuba la msimu huu inayotengeneza jumla ya kama 50M hivi hasajili form ya mtu,inasemekana Wazee wa kuzunguka na gari la kusafirishia fedha wamemuahidi kumpa hiyo hela ikiwa ni pamoja na kulipa madeni yote anayoyadai,lile la Simba la mwaka jana na hadi posho anazodai team ya Taifa "The Cranes" na mengineyo yeyote yale,kuna nini tena hapo Mtani zaidi ya kusubiri picha Okwi aki'sign Form za Jangwani?
Mkuu nyie mkishawapata sajilini tu kama mtafuata taratibu, tutaibua wengine aina ya Okwi, hadi sasa tunaye mmoja toka AFC Leopards, na wengine wawili ambao tutawaonyesha kwenye mechi dhidi ya Toto mjini Shinyanga.
 
Na mimi nimeipata hii Mkuu,pale Msimbazi nasikia hali ni tete 1 haikai 2 haikai,Maha(Rage) kaitisha kikao cha dharura na Friends of Simba kuangalia namna watakavyoweza kuzuia dhahma inayokaribia kutangazwa siku chache zijazo

ahaaaaaa! kumbeeeee ndo mana nilimsikiaga nyange akihojiwa na radio fulani ,akitoka uganda! Aliulizwa,amefata nn uganda, akajibu ni safar zake binafsi.
ANSLEM unatisha!
 
yaleyale Yanga wanao Gumbo, Nurdin, Chuji ambao ni zao la Simba lakini dozi ya goli 5-O wanaendelea kunyweshwa sasa wanaongezea Yondan dozi ndo itanoga zaidi.
 
Yanga tupa kule Asamoah,mwape,taita (phisical apiarance yake sio ya kiprofessional) Said mohmed ,kigi makasi,chuji na vimeo kibao pale mbele.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom