Ipi sababu ilikufanya ukachagua username unayoitumia sasa?

Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?

Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?

Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe unavyotaka.

Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.
Reflection of what I have
 
Sie wengine title zinajieleza tu
20251014_181956.jpg
 
Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?

Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?

Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe unavyotaka.

Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.
Ni pombe tu, Pombe ndo imenichagulia jina. Nilikua nimelewa balaaaaa ninavojiunga humu. So mpaka leo sijui kwanini natumia jina hili. Na likitaka kubadili jina pombe zinanambia OLEWAKO MBWA WEWE.... So sababu naiheshimu sana pombe na nnaiogopa, imenibidi niache tu.
 
Jina lako sijui nililiona kwenye movie gani🤔
 
Nilipozamia mambele,kazi yangu ya kwanza kabisa ilikua ni kwenye Meli zinazoitwa The Icebreaker

Hizi ni Meli za kuvunja barafu,zilizoundwa mahususi,ambazo hupitia kwenye maji yaliyofunikwa na barafu ili kutoa njia salama kwa meli zingine kupita,

Hizi Meli zina mfumo wa nguvu ya kusukuma na zina umbo la kipekee,kule mbele zina umbo kama kijiko au pembe,umbo hilo linaruhusu kupanda kwenye barafu na kuziponda kwa uzito wake,kuna movie pia inaiwa The Icebreaker,humo utaona jinsi Meli ilivyo,

Japo kazi hii sikuifanya kwa muda mrefu but ndio sehemu niliyoanzia safari moja iliyo anzisha safari zingine,

Hapo ndio asili ya hii ID yangu ilipo anzia.

cc Joanah min -me Depal Demi Evelyn Salt Hannah
 
Nilipozamia mambele,kazi yangu ya kwanza kabisa ilikua ni kwenye Meli zinazoitwa The Icebreaker

Hizi ni Meli za kuvunja barafu,zilizoundwa mahususi,ambazo hupitia kwenye maji yaliyofunikwa na barafu ili kutoa njia salama kwa meli zingine kupita,meli hizi Meli zina mfumo wa nguvu ya kusukuma na zina umbo la kipekee,kule mbele zina umbo kama kijiko au pembe,umbo hilo linaruhusu kupanda kwenye barafu na kuziponda kwa uzito wake,kuna movie pia inaiwa The Icebreaker,humo utaona jinsi Meli ilivyo,

Japo kazi hii sikuifanya kwa muda mrefu but ndio sehemu niliyoanzia safari moja iliyo anzisha safari zingine,

Hapo ndio asili ya hii ID yangu ilipo anzia.

cc Joanah min -me Depal Demi Evelyn Salt Hannah
Kisa cha jina lako kimenivutia sana , sijui kwa nini napenda kusikia hadithi za watu waliopambania ndoto zao kutokea chini kwenda juu , kwa kujitolea kwelikweli , nafikiri mimi pia ni mmoja wao, ndio sababu 🤔
 
Back
Top Bottom