Ilikuwa adv shule gani hiyoo?Hili jina alinipa rafiki yangu wakati tunasoma advance. Lilikuwa code name la kuandikiana vimemo ili wambea wasijue nani mhusika wa memo.
Mpaka leo nalitumia sana na ninalipenda mno.
Optimus kama upo humu Trudie amekumiss mno kitambo tulipotezana.
Mi najuaga Vessel ni jahazi kumbe kuna binadamu pia wanaitwa hivo 😆Kwanini usitumie jina lako halisi au unaogopa kutekwa na kupotezwa,binafsi na tumia jina langu la kutafutia ugali,kwani maisha haya connection,ukipotea kwenye connection ni sawa na adhabu ya kifo,sasandugu zangu mnawezaje ku fake na maisha yakaenda?
Shule moja ilikuwa Mbeya iliitwa Swilla sasa hivi nasikia haipo tenaIlikuwa adv shule gani hiyoo?
Daah nimecheka sanaNiliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.