Ipi sababu ilikufanya ukachagua username unayoitumia sasa?

Mie sio mtumiaji wa vinywaji vya viwandani, ie baridi au kilevi, mie situmii.

Sasa siku ya Graduation ya 4m 6, nilillazimishwa kunywa soda ya coca cola, bas baadae niliaanza kutapika, tumbo kuuma, nilikua hadi nalia,

Ndipo wanafunzi wenzangu wakaanza kunitania, "coca imempiga mtu" mara Coca imemchapa"

Ndipo nilipoamua kutumia hili jina, cocastic, ni kuwa coca, soda, stick ni fimbo, ila nikaitoa k. Imebaki "Cocastic".
 
Bwana ni system ya kuwapata , uwajibikaji wa majaji katika nchi ya marekani. Mahakama katika nchi ya marekani ipo zaidi ya huru yaani jaji wa wilaya anaweza kublok maamuzi ya Trump na hakuna kitu trump anaweza kufanya.
 
Mie sio mtumiaji wa vinywaji vya viwandani, ie baridi au kilevi, mie situmii.

Sasa siku ya Graduation ya 4m 6, nilillazimishwa kunywa soda ya coca cola, bas baadae niliaanza kutapika, tumbo kuuma, nilikua hadi nalia,

Ndipo wanafunzi wenzangu wakaanza kunitania, "coca imempiga mtu" mara Coca imemchapa"

Ndipo nilipoamua kutumia hili jina, cocastic, ni kuwa coca, soda, stick ni fimbo, ila nikaitoa k. Imebaki "Cocastic".
Haha!! Noma sana hii..
 
Back
Top Bottom