Ipi sababu ilikufanya ukachagua username unayoitumia sasa?

Ipi sababu ilikufanya ukachagua username unayoitumia sasa?

Foffana ni jina la beki wa kati wa Chelsea Wesley Foffana, nilifurahi sana chelsea ilipokamilisha usajili wake kutoka team ya Leicester city kwani moja ya wachezaji ambao nilikuwa nawakubali mno
😂😂 Wewe na mwenzako ndo mnatumalizia hela za matibabu Chelsea maana kila kona ya kitanda cha hospital mnaijua 😂
 
Nilitamani kutumia jina langu halisi... Nililowahi kutumia huko nyuma roho yangu ikasita,, Nikahisi sitakuwa huru kuchangia michango hasa ya utani kwani humu ndani tuna tuko na watoto wetu.....
Nikaamua kutumia Leo dada.
Leo, mie hupenda kumuita mume wangu kipenzi Leone sasa Leo ilitoka hapo.
Dada, dada ni mabinti zangu mapacha. Walipoanza kukua ukimuita ukimuita huyu anakuja mwingine wakawa wananifanyia mchezo.
Basi nikaanza kuwa nawaita dada kwa maana nikiita dada waje wote jina likaanzia hapo....... Na mpaka sasa aka yao wote wawili ni dada me.
Hiyo me imetokea kwangu!! watu wa karibu huniita Mamaa me au mama ministre.
Hizo ndio sababu za kujiita Leo dada
 
Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?

Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?

Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe unavyotaka.

Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.
Mi mpiga debe stendi ya mkoa ndo maana nikajiita wa stendi
 
Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?

Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?

Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe unavyotaka.

Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.
Word up man!

Mzee wa kazi ngumu nipe vitendea kazi visiki vitatolewa, zege itamwagwa, Mawe yatapasuliwa nk.
 
Back
Top Bottom