Kwa sasa bado unanyonya mbususu au umeacha?Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?
Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?
Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe unavyotaka.
Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.
AhahahaJamani huyu ni mtu wa usalama anataka pa kuanzia kazi ili atudabe .
Jamani si ushaandika ushuhuda wako nimeusoma jana😅Jina langu ni unique nikaona why nitumie majina ya kutunga wakat jina langu ni zuri na lenye maana
Wewe na Shadeeya jinsi mlivyo mnafaa kuwa nduguHili ni jina langu, mawardat🌷.
Mi huwa najua labda umelitoa kwenye zile series za azam two kuna mtu alikuwa anaitwa Seyran 😀Basi tu bangi bangi hakuna hata la maana!
Duhh hata siangaliagi hizo series eti, ni mtu tu alikuwa anapenda kuniita hivyo miaka mingi imepita, kama 10, japo initials katoa kwenye jina langu, kwahiyo nikitaka kufungua useless accs nalitumia chapchap!Mi huwa najua labda umelitoa kwenye zile series za azam two kuna mtu alikuwa anaitwa Seyran 😀
Kwanini jamani?😍@ShadeeyaWewe na Shadeeya jinsi mlivyo mnafaa kuwa ndugu
isingekuwa usumbufu nahisi ungebadilisha na kuwa jina lako official kwenye vyeti ?Duhh hata siangaliagi hizo series eti, ni mtu tu alikuwa anapenda kuniita hivyo miaka mingi imepita, kama 10, japo initials katoa kwenye jina langu, kwahiyo nikitaka kufungua useless accs nalitumia chapchap!
Kabisaa🤣isingekuwa usumbufu nahisi ungebadilisha na kuwa jina lako official kwenye vyeti ?
imeongezeka M mwanzo ila wew ni Warda 😜Hili ni jina langu, mawardat🌷.
Lipo neno la kiarabu ila nahisi halina "r" linasomeka " mawaddat",imeongezeka M mwanzo ila wew ni Warda 😜
Hii M ni jina langu halisi, hii warda jina langu Lina maana hii😜imeongezeka M mwanzo ila wew ni Warda 😜
niliambiwa mimi ni mshindi toka nipo mdogo na mimi ndo napita humo humo sema nikafanya kuiwekea hiyo nakshi ya one"🤭😅😅Lipo neno la kiarabu ila nahisi halina "r" linasomeka " mawaddat",
Na wewe kwa nini ulichagua Win-one, lina maana yoyote
oooh kumbe😊😄Hii M ni jina langu halisi, hii warda jina langu Lina maana hii😜