Ipi sababu ilikufanya ukachagua username unayoitumia sasa?

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,309
Reaction score
21,672
Ilikuwaje mpaka ukafikiria kulitumia hilo jina? What was the motive behind it?

Na je, kuna namna yoyote linaakisi maisha yako yalivyo, yalivyokuwa au yatakavyokuwa?

Mimi binafsi hili jina langu ni kwasababu naupenda sana mchezo wa poker na pia sipendi kutabirika sana kutokana na mchezo wenyewe unavyotaka.

Niliwahi kutumia jina la mnyonya mbususu ila members wakawa wananireport asubuhi, mchana na jioni. Sijui lilikuwa linawakera nini lile jina.
 
Kwanini usitumie jina lako halisi au unaogopa kutekwa na kupotezwa,binafsi na tumia jina langu la kutafutia ugali,kwani maisha haya connection,ukipotea kwenye connection ni sawa na adhabu ya kifo,sasandugu zangu mnawezaje ku fake na maisha yakaenda?
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom