KiuyaJibu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2007 Posts 853 Reaction score 210 Nov 15, 2012 #1 Maoni yenu ni muhimu ili tuweze kufanya tathimini nzuri. Attachments KERO.jpg 36.4 KB · Views: 312
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Nov 15, 2012 #2 Mbona sijawahi kusikia malalamiko kuhusu Zantel??
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,554 Reaction score 9,381 Nov 15, 2012 #3 Ndallo said: Mbona sijawahi kusikia malalamiko kuhusu Zantel?? Click to expand... ina watu wachache sana, hivyo haina msongamano
Ndallo said: Mbona sijawahi kusikia malalamiko kuhusu Zantel?? Click to expand... ina watu wachache sana, hivyo haina msongamano
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,361 Nov 15, 2012 #4 Umetumia lugha ipi ili tukujibi sasa???? 0713 ya Temeke Vs 0784???? Ila kifupi Tigo inasumbua sana kwa sababu haina coverage kubwa.
Umetumia lugha ipi ili tukujibi sasa???? 0713 ya Temeke Vs 0784???? Ila kifupi Tigo inasumbua sana kwa sababu haina coverage kubwa.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Nov 15, 2012 #5 Mzee wa Rula said: Umetumia lugha ipi ili tukujibi sasa???? 0713 ya Temeke Vs 0784???? Ila kifupi Tigo inasumbua sana kwa sababu haina coverage kubwa. Click to expand... hili linamaanisha ile maana ya temeke..
Mzee wa Rula said: Umetumia lugha ipi ili tukujibi sasa???? 0713 ya Temeke Vs 0784???? Ila kifupi Tigo inasumbua sana kwa sababu haina coverage kubwa. Click to expand... hili linamaanisha ile maana ya temeke..
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Nov 15, 2012 #6 Mnawasingizia bure hao. Hii hapa ndo mchawi wenu.