Tman900
Senior Member
- May 30, 2017
- 176
- 350
Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu.
Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko.
Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda husika wanauza. Hawa ma agent ndio Chanzo cha huu uhuni wa kuchanganya bidhaa za kiwanda A na B.
Kwa anaejua bati nzuri na bora Kitanzania ni Kampuni gani hawana kanjanja.
Wachina wanatuletea nidhaa kanjanja na Ma Agent (Wabongo Wenzetu).
1. Utofauti wa bati za chenga na hizi zisizokua za chenga chenga.
2. Hizi bati za chenga, ubaya wake ni upi na kama zinashida shida zipata baada ya muda gani.