Ipi ni AI nzuri kutumia kati ya Deepthink na ChatGPT?

Ipi ni AI nzuri kutumia kati ya Deepthink na ChatGPT?

Hizi ni artificial Intelligence ambazo zinatamba Kwa Sasa?
Kwako wewe mdau ipi Iko better?
cha kwanza hizo sio AI znaitwa chatbots, AI ni lugha ya biashara kupumbaza watu!
alafu kujibu swali lako, kunakuaga na test inafanyika kila release mpya inapotoka hivo kama uko serious na hizi chatbots basi jibu ni GROK
 
Groko iko vizuriii, ilinipatia uyu mpeeenz jmn
1000109763.jpg
 
Xi Jinping aliipa sifa ile ya kichina yaan deepseek ila kiukwel haiigusi chatgpt
Nimetumia ChatGPT na DeepSeek haya ndiyo niliyojifunza:

Unajua ukitumia ChatGPT is like asking a very knowledgeable person with lots of stored information to do a calculus problem for you

Lakini mara zote ninapotumia Deepseek is like asking a Calculus professor to do it for you

DeepSeek mara zote imekuwa bora kwangu kwenye depth data analysis

Kuna watu wengine wamekuwa wakitumia DeepSeek kwenye coding problems hawataki tena kusikia uchafu wa ChatGPT

Kwenye issue za kiacademic hapo ndipo the real strength ya DeepSeek ilipo, nazungumzia the thinking process DeepSeek iko more interactive

Nyinyi majanja hamtaweza kunielewa ila kwa sisi tunaocheza na AI kwenye masuala ya academic huwa mwanetu ni DeepSeek, huyu nyangumi achana naye salute kwake

Na hapo nazungumzia Version ya R-1, sasa Mchina katoa V3.1 mwezi huu


Huu ni unyama wa V3.1:
  • Hybrid inference: Think & Non-Think — one model, two modes

  • ⚡️ Faster thinking: DeepSeek-V3.1-Think reaches answers in less time vs. DeepSeek-R1-0528

  • 🛠️ Stronger agent skills: Post-training boosts tool use and multi-step agent tasks

Hapo mbanga zote za legal docs analysis, technical coding, research assistance n.k zimelala

Kwangu nyangumi atabaki kuwa AI bora zaidi
 
Back
Top Bottom