Miss Halima
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 221
- 482
Nyota wa klabu ya FC Barcelona Lamine Yamal amezidi kujiimarisha kwa kufanya mazoezi ya kufunga kwa kupiga faulo (direct free kick),
Msimu huu bado hajafanikiwa kufumania nyavu kwenye mbili ambazo Barcelona wamecheza,
Barcelona wamekusanya alama 6 na kufunga mabao 7 lakini Yamal bado hajafungua kabati la mabao msimu huu