Ipi inaumiza sana

ila ukifumaniwa usalama mdogo si kama we utakavyofumania
Mie vyote vitaniumiza na usalama pia ni mdogo,
Coz nikifumania nitaumizwa na ile hali ya kusalitiwa na kubaki njia panda nisamehe au nichukue time,
Nikifumaniwa nitaumia pia kwa saliti nilioufanya na najua kbs hakuna cha msamaha na nitajilaum kwa ****** nilioufanya labda iwe nilikusudia ndipo naweza kuwa siumii sana!
 
Ila cha msingi tujiepushe tu mana dah ikishakuwa kwenye kufumaniana hutaaminika tena na hakutakuwa na mapenzi ya dhati pia
 
Ila cha msingi tujiepushe tu mana dah ikishakuwa kwenye kufumaniana hutaaminika tena na hakutakuwa na mapenzi ya dhati pia
Ni kweli kbs usemalo japo neno uaminifu siku hizi limekuwa msamiati!!
Hata sijui haya mapnz yameingiliwa na kitu gani!!!
Nikuomba mungu aepushie mbali tu!
 
Ni kweli kbs usemalo japo neno uaminifu siku hizi limekuwa msamiati!!
Hata sijui haya mapnz yameingiliwa na kitu gani!!!
Nikuomba mungu aepushie mbali tu!
mapenzi siku hizi uhuru umezidi halafu watu wanataka fleva tofauti
 
Duh.......bora nifumanie bhana ntakuwa na amani na uamuzi wa nini nifanye.
 
Ingawa yote ngumu, lakini ukifumania unaamua wewe la kufanya, na kama utaamua kusamehe, unaweza hata kuwakosesha raha uliowafumania, daima hawatakuwa na uhakika kama ndio kweli yameisha.

Tatizo ufumaniwe wewe; alokufamia ndio anaamua yeye la kukufanya. Ile hali tu ya kukamatwa live inamkosesha mfumaniwa ujasiri wa kujitetea. Umeshawahi kuona dume lililofumaniwa limevishwa shanga na kutolewa hadharani? Hapo hata kama alofumania hakumega ule mtandao, watakaoshuhudia wataona lile dume limemegwa tu.
 
Back
Top Bottom