Ipi inaumiza sana

Ipi inaumiza sana

Nafurahi vile wewe mzima, rafiki mwambie awe anaaga bana manake anatupa shida kukubembeleza wakati hayupo!

hehehe mbona nilikuwa sawa tu jamani wifi? Ingekuwa washawasha kweli maana sina raha hata kula siwezi
 
Nafurahi vile wewe mzima, rafiki mwambie awe anaaga bana manake anatupa shida kukubembeleza wakati hayupo!
mbona sisi ni marafiki tu,Kabakabana ana mme wake bhana.
 
MAPROSOO anapita. kwasababu hajawahi kufumania wala kufumaniwa.
 
heri ufumanie bhana unaweza ukasamehe au kumwacha,but kufumaniwa utaaibishwa sana
Kweli Mkuu, ukifumania wewe ndie mwenye mali, unaweza kuamua chochote, lakini kufumaniwa, sio kuaibishwa ndogondogo tu, unaweza hata kuuliwa. Wengine waliofumaniwa wamewahi hata kukameruniwa.
 
Kweli Mkuu, ukifumania wewe ndie mwenye mali, unaweza kuamua chochote, lakini kufumaniwa, sio kuaibishwa ndogondogo tu, unaweza hata kuuliwa. Wengine waliofumaniwa wamewahi hata kukameruniwa.
kufumaniwa ni hatari sana mana hata usalama wako ni mdogo
 
Back
Top Bottom