Ipi inasema ukweli?

Ipi inasema ukweli?

ulivyotumia kichwa umepata ngapi?
weka kanuni na njia hapa ili tuone ukweli wa ukisemacho

Mkuu wewe ulivyoleta jibu lako uliweka kanuni na njia kufikia jawabu lako..!? Au umeamua tu kuiamini hiyo device..!?
 
Jibu 9 hapo wala haihitaji kushika peni team Casio
 
Wakuu nimelazimika kuingilia mjadala huu kama mwana hesabu, ni kwel ni magazijuto kama mnavyosema hivyo bas kwa kufwata sheria ya magazijuto na kuanza kufungua bracket jibu linatikiwa kuwa 9 so wanaosema 1 wanapaswa kuchunguza vzur wataelewa
 
haya tuishie hapa.
Kanuni hapo ni magazijuto,ukishafungua mabano itakuwa kwenye form hii 6÷2×3 kwa mujibu wa kanuni lazma kwanza ugawanye hapo ambapo itakuja kwenye form hii 3×3 sasa kwann jibu lisiwe 9

Changanua kanuni yako na wewe tuone limekujaje jibu la Casio ili tuelimishane na sio tuishie kukosoana tu
 
nilie kuwa nabishana nae aliua anasema jibu ni 1

na mimi nikamwekea picha hii

IMG_20170621_075500_811.JPG

ila akaendelea kubisha
 
Utaratibu wa Calculator ya simu ni kuanza mahesabu yake kwa tendo la kwanza unalolitaka na kuliendeleza jibu na tendo linalofuatia. Calculator haifuati kanuni ya Magazijuto na hapo ndipo programmer alipokosea.

6 /2 =3

3(2+1)=9

Lakini magazijuto

2(2+1)=2*3=6

6/6=1

Hivyo

6÷2×(2+1)=9

6.
2(2+1)
Ni 1[/U]
 
ulivyotumia kichwa umepata ngapi?
weka kanuni na njia hapa ili tuone ukweli wa ukisemacho
Kanuni katika hii hesabu (6÷2×(2+1) zinasema:

1) kwanza kilicho kwenye mabano unajumlisha (1+2=3)

2) kisha unazidisha (2×3=6) unapata (6÷6=1)

3) au unagawanya (6÷2=3) unapata 3×3=9)
 
zote zipo sawa,nadhani ishu iaanzia hapo kweny kueleweka hiyo alama ya kugawanya kwamba iko vp...kati ya kuwa hivi
(6/2)(3)
au
6/2(3)
 
Kanuni katika hii hesabu (6÷2×(2+1) zinasema:

1) kwanza kilicho kwenye mabano unajumlisha (1+2=3)

2) kisha unazidisha (2×3=6) unapata (6÷6=1)

3) au unagawanya (6÷2=3) unapata 3×3=9)
Wacha weeeee ukifungua mabano kinachofuata ni kugawanya na si kuzidisha according to BODMAS
 
Wacha weeeee ukifungua mabano kinachofuata ni kugawanya na si kuzidisha according to BODMAS

Angalau tumekubaliana kwamba kilicho kwenye mabano hutanguli kwanza.

Swali ni ipi ynye nguvu kati ya kugawanya na kuzidisha kama hujaweka mabano?

Kwa mfano

Kanuni hapa inasemaje:
6÷2×3 na 6÷(2×3) au 6/(2×3) na kadhalika.
 
Yenye nguvu kivip mkuu?.
Principle hapa ni BODMAS means:
B = bracket
O = open
D = division
M = multiplication
A = additional
S = subtraction
Kwamaana ya kwamba ukipewa swali lime-combine matendo tofauti tofauti solve kwa kufuata mtililiko huo.
Kwa case ya 6÷2(2+1)
6÷2(3)
3*3 = 9
Note: mabano yanawakilisha kuzidisha yaan kwa mfano 3(4) = 3 *4 = 12.
 
kulingana na jinsi tulivyofundishwa tena kwa kutumia MAGAZIJUTO jibu twapata 1 mkuu.
tuanze na mabano
2(2+1)= 4+2= 6
6÷6= 1.
 
kulingana na jinsi tulivyofundishwa tena kwa kutumia MAGAZIJUTO jibu twapata 1 mkuu.
tuanze na mabano
2(2+1)= 4+2= 6
6÷6= 1.
Mmmh hivi 6÷2(2+1)
6÷4+2 hapo kinafuata kugawanya au kujumlisha?.
 
nimetumia hapa scientific calculator imenipa ni 1
 
Back
Top Bottom