IPhone13 na dada zetu

Nasikitika

Member
Sep 11, 2021
22
16
Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious.

Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au unaachana nao ni maana ni ushauri tuh..

Nasikitika endelea kusikitika hivyo hivyo
 
20210916_223743.jpg
 
Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious.

Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au unaachana nao ni maana ni ushauri tuh..

Juzi kuna mmoja aliniambia anajichanga anunue iPhone na mimi nimuongezee kiasi cha pesa nikakwambia aende kwa baba yake
 
Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious.

Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au unaachana nao ni maana ni ushauri tuh..

Hauwezi kuleta mabadiliko kwa uandishi huu
 
Na hiyo simu wakinunuliwa huwa wanaonunua wanahakikisha unalipia gharama zote Hadi nauli ya kwenda kuchukulia hiyo simu...
 
Kuna mwingine mahux anssoma chuo x bagamoyo kaliwa kwa mparange wiki nzima lodge kwa madai ya kupewa iphone 12 ,cha ajabu jamaa kamkabidhi simu ipromax 12 ya kichina yenye android ...jamaa kazima na cm kapotea demu mpk sasa hana hamu kbs ,yupo yupo tu ,Tamaa zinawapeleka kubaya sana

sent from HUAWEI
 
Daah Dunia ipo mwisho ndugu zangu na life is too short tufanye matendo mema tubu kabla haujasaliwa!!
 
Kuna mwingine mahux anssoma chuo x bagamoyo kaliwa kwa mparange wiki nzima lodge kwa madai ya kupewa iphone 12 ,cha ajabu jamaa kamkabidhi simu ipromax 12 ya kichina yenye android ...jamaa kazima na cm kapotea demu mpk sasa hana hamu kbs ,yupo yupo tu ,Tamaa zinawapeleka kubaya sana

sent from HUAWEI
Naomba no ya huyo dada
 
Back
Top Bottom