iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Msaada jinsi ya Ku verify account,, iphone 4
566b96250464eceee227573b834258c4.jpg
 
Watu wengi wanaliongelea swala la icloud kwa ushabiki na sio research icloud inatoka tatizo ni kwamba kila inapotoka bypass ya kuondoa icloud apple wana update security na inapotoka software ya icloud pia apple wanaichambua na kuingiza katika security zao ila kwasasa icloud sio tatizo tena mimi mwezi ujao nitakuwa dar mtu atatoa ushuhuda wa simu yake hapa kwa wana jf.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Utaibiwa wewe hiyo hela bora ulimie shamba tu, lakini kufunga safari kwenda dar kuibiwa ni jambo la kuskitisha sana
 
Jamani wakuu app gan nzuri ya kudownload mp3 na mp4 iliyoko App Store?

Kingine mi nimeshindwa kabisa kuweka pics kwenye iphone 5 yangu toka kwenye pc kwa kutumia itunes kama kuna Mwenye ujuzi please share na Mimi.
Asanteni.
 
Tumia program ya "Documents".

Ni kama File Manager ya Android na pia unadownload na ku-save songs na videos au media zozote. Pia inasave na kuopen documents na file formats zote
 
Kwa wataalam wa kudownload YouTube video ni app gani ambayo inafanyakazi vizuri ukiacha Document ambayo process zake ni ndefu. Please Msaada hapo
 
Back
Top Bottom