Stralis
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 618
- 613
Nko na iPhone 5 inarotate kila nkipindua nimetafta pakutolea nmeshndwa....
Nko na iPhone 5 inarotate kila nkipindua nimetafta pakutolea nmeshndwa....
hivi nikinunua iPhone used kwa mtu. inawezekana kufuta kabisa/to remove account original ya iTunes na kuweka mpya ya kwangu?
Hivi betri za iphone zinapatikana tanzania. Wapi naeza kuzipata
Za asubuhi, kunamtu ambae anaweza kutoa icloud ya iphone 4s
Veorder... Download kwa browser yenye nembo ya betaApp gani naweza kuitumia kudownload video za youtube kwenye simu
Bei gani..??Kuwezeksna linawezekana kwa kulipia
Habari za leo natumia Iphone 4s kwa sasa eneo ninapokaa linatumia mtandao wa 4G na Iphone yangu inatumia 3G Je kuna uwezekano wowote simu yangu Iphone 4s ikatumia 4G nifanyeje??
Nauza iPhone 5s gb 16, rangi Ni white ipo vizur, kwa anaye hitaji nicheck pm
Veorder... Download kwa browser yenye nembo ya beta
Ndugu vp una iPhone 5s 32gb?Iphone 4 unlocked.... 180k... Used...
Usipate tabu kuhangaika na locked iphones... Njoo upate iphone unlocked
Bei gani kutoa icloud lock?Mwenye kioo cha iphone 4s cheupe anichek,,,,lakini pia wale wenye simu zao zina icloud nichek inbox icloud inatoka!!
Bei gani kutoa icloud lock?