iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Msaada: Iphone 6 inaandika ''iphone is disabled connect to itunes''
Nifanyeje wadau
 
hahaa aple bdo watawakazia sana wahun wanao taka kutoa i cloud ,huwa najiuliz hawa ma hacker hawajawai kukutana il wamaliz hl tatzo la i device na privacy zake? ama na wao wanatmia i phone.

Hao jamaa wamewekeza zana kweny hao ma hacker ko wamechukuliwa ma hacker nguli kudhibidi ilo na unaweza kuta ma hacker wenyw wanatumia hizo ios awatak kufatiliwa
 
kufungua iphone sio kazi.

kazi ni hiyo update unayopewa,kuna anually na hizo ndogo ndogo za kati kati humo kila miezi 2.

inakuwa ni sawa na kuiba gari la watu halafu unarudi tena kwao kuwaomba funguo uendeshe.
 
Aisee
 
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom