iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Attachments

  • 375FEDEA-D41F-4937-A436-32D7ABFD38AB.png
    375FEDEA-D41F-4937-A436-32D7ABFD38AB.png
    372.3 KB · Views: 5
Nina iphone ya dogo hapa
Inamatatizo 2 moja imebadilishwa kioo ila ukitouch inakataa fundi anasema imekufa touch Ic ni kiasi gani wakui?

Na nimejatibu kuiwasha inaniomba icloud dogo anakumbuka ila password kasahau kabisa ajui ni zipi aliweka naomba msaada apa
 
Iphone ngap hyo?
 
Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za apple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine.

HADI MUDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPELI, wataalamu karibuni.

Unlock iCloud Only 5 Min!!! Easy Step how to Unlock Activation Lock iCloud For iPhone 6/7/8/X Done​

Back
Top Bottom