iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Dah aise home button yangu ilizingua
Kumbe ukibadili finger print hazitafanya kazi tena
 
Daah hapo sasa ikitoka hyo itunes disabled itaomba ujaza account hyo icloud na password kama hizo huzijui sio simu tena hyo...hata ukii bypass iterud kawaida ila itakua haishiki mtandao ukiweka lain inaandka no service
 
Mkuu hamna njia yoyote ya kuifanya ishike mtandao?
 
Aiseee Mimi Nina ipad shida yake ni kama inatoa shadow hivi(ghost),marangi rangi,kiasi hata picha huoni vizuri,nimejaribu reset factory wapi? Netflix siangalii kabisa,video zinatoka na rangi rangi tuuu,msaada 🙏🙏🙏 please
 
Back
Top Bottom