elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
If your Apple ID is locked or disabledNimeshafanya hivyo shida inakuja email ndo inaenda kwenye hiyo id sasa naipataje wakati nikita ku login inasema account locked.. Nataka nijaribu kuwasiliana nao help desk moja kwa moja nione itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
So wewe unatumia apple id yako ikiwa ni email ya icloud?Nimeshafanya hivyo shida inakuja email ndo inaenda kwenye hiyo id sasa naipataje wakati nikita ku login inasema account locked.. Nataka nijaribu kuwasiliana nao help desk moja kwa moja nione itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ndo hiyo hiyo mkuu.. Nilifungua mda mrefu kidogo na wakati nafungua nilikuwa najua ni lazima nitumie @icloud.com kumbe sio lazima.. Saiz ndo hiyo ipo locked sababu kuna mda mrefu niliacha kuitumia sasa nilipokuja kutumia tena ikawa kila nikiweka password nakosea sku nakuja kukumbuka tayari washa lock na email ndo hiyo hiyo...So wewe unatumia apple id yako ikiwa ni email ya icloud?
I dont think apple they are that stupid watume recovery link kwenye email ambayo wameiblock.
So email yako ni ....@icloud.com?
watu wanapenda show off..unanunua simu ya milioni na zaidi na bado inakutawala..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu nimekutana naye sjui ni humu sikumbuki,anauza 200k.Natafuta display ya iPhone 6 Plus, yakwangu imepasuka pasuka.. Naweza pata kwa sh ngp
Jinsi ya kuirestore iphone kwa njia ya kureset inanidai ID password sasa ni password zipi hizo na nazitoa wapi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni apps gani must have kwenye iphone yoyote ile au zipi ni best iphone apps of all the time haswa za free
Nenda instagram mtafufe@inauzwaNatafuta display ya iPhone 6 Plus, yakwangu imepasuka pasuka.. Naweza pata kwa sh ngp
Duh..Bei kaulize kariakoo sio hapa soma kichwa cha thread na ndio mana sim za apple mnaona pasua kichwa kutumiamana hamjielewi
Kwangu Mimi video cache inanirahisishia sana ku download videos mbalimbali YouTube na kwingineko,Mimi ni mpz wa ku download lakini downloader nyingi zilikuwa zinanizingua ila hapo nimefika.
Nina flash ya iDiskk application yake naitumia kuhamisha documents kati ya simu na simu bila kutumia computer,music player na pia ku share audio au video ktk Mitandao mbali mbali kwa wepesi zaidi.kwa sasa hakuna ninachomis kutoka android completely.