iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Wakuu mm ni mgeni kutumia ios, nilikuwa ninapat shida sana kama kutuma audio WhatsApp hata kudownload nyimbo nilikuwa naomba msaada
 
ingia app store ...download turbo downloader au documents zitakusaidia kudownload music video from youtube and audio from other web audio providers respectively
 
IPhone 5s
GB 16
Clean condition
Bei 470,000
Phone with Usb charger.
Serious buyer 0654766056

2b5c2c86887ec4572f193e094cb2553a.jpg
353c98efc7e18cf6d26c59cd64302b7e.jpg

Mjomba kula 40k
 
Nauliza kioo cha iphone 4 naweza kupata wapi na kwa bei gan?
 
Mtafute Adili yupo morogoro karibi na supermarket inaitwa Piras au opposite na duka la samsung atakusaidia kwa shida zote za simu hababaishi yule na ni muuzaji wa simu nzuri
 
Jamani iphone 5 yangu inasumbua ina kama strip kwa upande wa kulia juu hadi chini. Matokeo yake herufi upande kulia kama namba sifuri.

Je solution ninini?
 
IPHONE YANGU 5s BATTERY IFIKA 20% au 16 INAZIMA MDA MWINGINE INAZIMA NA KUJIWASHA HADI NIIWEKE KWENYE CHARGE TENA NIMEJARIBU KUWEKA BATTERY MPYA MCHEZO NI ULE ULE NIME FORMAT SIMU BADO MCHEZO NI ULE ULE MSAADA TAFADHARI
 
jamani mi nina iphone 4s nilitumiwa na ndugu yangu lakuni sasa toka ije sijaitumia hata mara moja coz ina icloud activition kitu kama icho nawez pata msaada humu maaana hata yeye akumbuki kitu hata kimoja
 
mmmhh mm nnayo 6+ hpa iko na I cloud

nimekwenda kufunguliwa imegoma ww unaweza kama liko ndan ya uwezo wako call me 0712 888665

Ni simple mbona kama uko dar nend akatuakoo kuna maduka ya screen protector uchague yenye kioo either cha silver ama gold screen protector then uweke kwenye hiyo iphone halafu utumie kama kiyoo cha kunyolea ndevu.
Out of that no way out
 
jamani mi nina iphone 4s nilitumiwa na ndugu yangu lakuni sasa toka ije sijaitumia hata mara moja coz ina icloud activition kitu kama icho nawez pata msaada humu maaana hata yeye akumbuki kitu hata kimoja

Rudisha simu ya watu.
 
Iphone 4s inauzwa iko kwenye clean condition bei 150k
 
Na iPhone 6 sema inatatizo la screen yake inacheza yani kunakipindi uwezi ata kuandika msg au kusoma kitu inavyo sheki na kunawakati inatulia inakuwa poa sasa tatizo itakua nini?maani nimejaribu ku updated kwenda ISO 10.2.1 lakini tatizo liko palepale
 
jamani mi nina iphone 4s nilitumiwa na ndugu yangu lakuni sasa toka ije sijaitumia hata mara moja coz ina icloud activition kitu kama icho nawez pata msaada humu maaana hata yeye akumbuki kitu hata kimoja

Rudisha simu ya watu
 
Back
Top Bottom