Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
Siwezi kuku-guarantee ila sometime huwa inaingiza inategemea na charge yenyewe maana charger za iphone huwa inaweza isiingize charge ila ukiiweka kwa muda mrefu unashangaa charge imeingia. Jaribu mkuu ni katika kufanya trouble shooting maana hata mie nilikuwa nina same problems nilikuwa ninafanya hivyo maana ukiishiwa charge hakuna jirani wa kuazima charger kutokana na kutokuingiliana. Jaribu tu kuchomeka huku imewaka alafu zima usikilizie matokeo kesho asubuhi alafu utanipa mrejesho, kama isipojaa basi hiyo charger imekufa kabisaKwa hiyo Mkuu hata kama haioneshi kuwa inaingiza nikichomeka nikaacha had asubuh inaweza ikachaji?