iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Hakuna dealer wa Apple Tanzania ao ni mafundi tu
Elite computers ni authorised Apple products reseller in Tanzania. Personally nimeshafanya biashara nao mara nyingi. Kabla hujabisha nenda ujionee mwenyewe.
 
Achana nae,pale Mlimani City kuna authorized dealer mwingine.
 
Endeleeni kuota, ila zinafunguka
I5,i4,i4s

Kamuone Hamza na iPhone wa mobile plaza au ukifika agrey muulizie
 
Mkuu pole kwanza, kosa wanalofanya watumia wa iPhone pindi wanaponunua ni kuweka passcode, hii inafanya kuwa ngumu kuitrack simu yako pindi unaibiwa, mfano mi iPhone yangu sijaweka passcode yoyote na bado ipo secured kwa sababu bado iCloud inafanya kazi kama kawaida, pindi ikiibiwa bado mwizi wangu ataendelea kuitumia kama kaiwada na nina chance kubwa ya kumshika nayo mkononi
hata ikiwa na code unaipata kwa kuilocate
 
Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za apple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu iOS na mambo mengine.

HADI MUDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPELI, wataalamu karibuni.

Mkuu sio kweli unachosema kwani tumetofautiana ki uwezo, kila kitu sasa hivi kinafanyika kwa njia nyingi tu. Mimi binafsi ni moja kati ya watu wenye uwezo wa kufanya hicho kitu kwa njia zaidi ya 3 na vitu vingine zaidi ya hivyo but sipo hapa kwaajili ya kukuambia how and what to do, zaidi ya kukupa ushauri kama watu wengine waliotoa hapo juu ( mrudishie aliyekuuzia au uliyemuibia ).
Pia ushauri kwa technical team ( fundi ), msiwe wavivu wakutafuta vitu, kwani kila kitu kinawezekana.
 
Elite computers ni authorised Apple products reseller in Tanzania. Personally nimeshafanya biashara nao mara nyingi. Kabla hujabisha nenda ujionee mwenyewe.

Achana nae,pale Mlimani City kuna authorized dealer mwingine.

a1d69de1be324678ca298bf87a76f3e0.jpg

Niliwasiliana na Apple nikajibiwa hivyo

Hao Elite ni mafundi tu nami nimesha fanya nao kazi sio authorized
 
Dah wakuu nimehamia iOS na mim kutoka Android,japo bado mgeni ila nmeanza kuzoea tatizo moja tu ambalo nmeahindwa kuvumulia naomben msaada maana nataman kuipiga chin hii simu..tatizo lenyewe ni ukiongea na mtu wakati wa calling yaani sauti yake inasikika kwa mbali sana nmefuatlia mitandaoni nmeona pia watu wanalalamika kuhusu hilo na pia nmejaribu kuchek na watu wazoefu wanaotumia iPhones naambiwa ndo zilivyo je hakuna jinsi ya kuongeza calling volume?maana nikiwa njian nikapigiwa simu inakuwa kero.Natumia iphone 6
 
Nimetumia sim za hao jamaa tangu enzi za iPhone 3, kisha 4, na 5 na kwa sasa natumia iPhone 6 sijawahi kuona kama hilo ni tatizo rasmi kwa simu hizo. Hilo nimewa kukutana hata kwa simu za Android ingawa sijui kiufundi linasababishwa na nini.
 
Dah wakuu nimehamia iOS na mim kutoka Android,japo bado mgeni ila nmeanza kuzoea tatizo moja tu ambalo nmeahindwa kuvumulia naomben msaada maana nataman kuipiga chin hii simu..tatizo lenyewe ni ukiongea na mtu wakati wa calling yaani sauti yake inasikika kwa mbali sana nmefuatlia mitandaoni nmeona pia watu wanalalamika kuhusu hilo na pia nmejaribu kuchek na watu wazoefu wanaotumia iPhones naambiwa ndo zilivyo je hakuna jinsi ya kuongeza calling volume?maana nikiwa njian nikapigiwa simu inakuwa kero.Natumia iphone 6

Itakua ni tatizo la speaker ya hiyo simu.
 
Hapana Mkuu..nimetafuta mtu mwingine mwenye iPhone 6plus nae ni hivyo hivyo,nimejaribu hadi ku google nmeona watu wengi wanaongelea hyo issue.Yan ukiwa sokoni kwenye kelele ni shida.
 
iOS version yange ni ngapi?
 
Mimi natumia 5s usiposhusha sauti hata bila loud speaker wa pembeni yako anasikia maongezi yote
 
Back
Top Bottom