Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,630
- 4,687
Ma ITs bado tunahangaika kupata ufumbuzi
Nothing possible under the sun,
Ma ITs bado tunahangaika kupata ufumbuzi
Nothing possible under the sun,
Nina 5s ina icloud mpya kabisa mwenye kuitaka please
Unauza bei gani?Nina 5s ina icloud mpya kabisa mwenye kuitaka please
Tuwasiliane mkuu kupitia 0783848802Iphone 5 inauzwa bei ya kishikaji kabisa 300k
Sikushauri ununue iPhone 4s kwasababu Apple wataacha ku support soon ndomaana iOS 10 haikubali kwenye 4s na huu ni mwanzo kuwa wana ipiga chini
nakushauri nunua 5c
Nina iphone 5g nataka kubadilisha motherboard, so mwenye iPhone 5 ambayo anauza vifaa njoo ni dm