iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Halotel yenyewe configurations zake hazina configuration kwenye hotspot.

Ila kuna namna ya kufanya setting kwenye Cellular Data setting kuiweka. Unacopy like jina la APN kwenye cellular data, unacopy kwenye personal hotspot APN.
Duuuh... Wewe kweli mwana appolo.. Asante bro. Ngoja nijaribu manake hizi MB za haloteli nazitamani sana
 
Duuuh... Wewe kweli mwana appolo.. Asante bro. Ngoja nijaribu manake hizi MB za haloteli nazitamani sana

Poa.

Ukiweka line ya Halotel nenda kwenye setting > Cellular Data > Cellular Data Network option na andika celldata katika kila APN mpaka kwenye personal hotspot. Automatically utaona hotspot option imerudi.

874b9456f47219754e266d7d14b23793.jpg

6fef4af678e39b12ef2bbf2926006692.jpg

Kwangu mimi nimeandika 'internet' kwa sababu ni Vodacom, wewe weka 'celldata' kwa Halotel.
 
hat
Wakuu ni IPhone 4S but haikubali kuhifadhi files za Audio ila kusikiliza nasikiliza vizuri tuu mfano nyimbo
Hili ni tatizo Au ni setting na Kama Ni settings Au tatizo nifanyeje?
hata mimi kwenye ipad yangu haikubali kudownload nyimbo na video naambiwa niende kwenye i tunestore nikibonyeza hapo naambiwa service is not available in your country , nimejaribu kuingia appstore kudownload app za kudownloadia nyimbo na video lakn hamna kitu
 
Poa.

Ukiweka line ya Halotel nenda kwenye setting > Cellular Data > Cellular Data Network option na andika celldata katika kila APN mpaka kwenye personal hotspot. Automatically utaona hotspot option imerudi.

874b9456f47219754e266d7d14b23793.jpg

6fef4af678e39b12ef2bbf2926006692.jpg

Kwangu mimi nimeandika 'internet' kwa sababu ni Vodacom, wewe weka 'celldata' kwa Halotel.
Asante sana bro!!! Umenipa maujanja ya maana .
 
Back
Top Bottom