konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,622
- 41,331
Usisikilize watu kuiponda. Ni nzuri kuliko iOS 9.3.5. Nineupdate and its good
Bro kuupdate hii,ni hadi utumie wifi au hata bando ? Kwani najaribu naona inagoma

Wakuu iOS 10 imetoka,kwa atakae upgrade naomba atupe mrejesho jinsi ilivyo. Nimefatilia kwenye forums mbali mbali watu wameiponda.
Sasa najaribu kufikiri labda binti yangu aliibadilisha ID maana kuna wakati nilimpa aitume. Lakini pamoja na hilo bado ID inayodisplay naona ni ya kwangu sasa hata nikiifungua through other devices na kuingia kwenye www.iforgot... inaniambia hii ID haipo .'doesn't exist in apple store'
Naombeni ushauri nifanyaje niweze kuiretrieve hii simu wapendwa
Ni laki tatu na elfu 50.. Ukishaona K ujue ni lakijaman naomben kueleweshwa kitu apa naona watu wanaandika bei ya kitu kwa style ya K kwa mfano 350k mi sielew kbs tsh inakuwa tsh ngap ni laki ukiweka k au?
kuuliza c ujinga
Nauza iphone 5s .. 420,000 haijawahi kufunguliwa. Ni pm
350,000jaman naomben kueleweshwa kitu apa naona watu wanaandika bei ya kitu kwa style ya K kwa mfano 350k mi sielew kbs tsh inakuwa tsh ngap ni laki ukiweka k au?
kuuliza c ujinga
mkuu hivi hiyo update ya 9.3.5 ina ukubwa gani maana nilijaribu ku update kwenye ipad yangu naona mb zinaisha tu bila mafanikioUnaweza ku update kwa WiFi tu. Kwa Bundle yako haiwezi kutokana na security reason. Kama unataka ku update kuna njia mbalimbali:
1. Kama una computer install iTune kisha hakikisha upo kwenye mtandao itadownload na kufanya update. Unaweza ukatumia Bundle ya simu yako kwa kufanya wifi network sharing au USB Hotspot kwenye computer.
2. Chukua simu ya mtu muombe akutumie WiFi au kaa maeneo yenye WiFi yenye speed kisha update.
Mkuu halotel kwenye i phone hawana usb hotspot?Unaweza ku update kwa WiFi tu. Kwa Bundle yako haiwezi kutokana na security reason. Kama unataka ku update kuna njia mbalimbali:
1. Kama una computer install iTune kisha hakikisha upo kwenye mtandao itadownload na kufanya update. Unaweza ukatumia Bundle ya simu yako kwa kufanya wifi network sharing au USB Hotspot kwenye computer.
2. Chukua simu ya mtu muombe akutumie WiFi au kaa maeneo yenye WiFi yenye speed kisha update.
Sasa hivi naiuza 420kNina 5s .. Nyeupe .16 GB.. Kama una 55k .. Ni pm.. Haipungui
Kwa uelewa wangu ni kwamba mtu awezi kubadilisha ID ya IPhone bila kujua password yako Ya mwanzo, Pia bila yeye mwenyewe kuingiza password mpya.Nakushauri uulize password kwa muhusika aliyebadilisha.
2. ID yako Ya simu Pia ni ID Ya email na iCloud,ambayo ni zaidi Ya password Ya simu. Hii inamaana kwamba hata kwa kutumia kompyuta bado unaweza kuingia kwenye ICloud account ambayo ina picha,contact lists n.k zako...Jaribu ku-download iCloud (for windows) kama una pc, au ingia iCloud Ya Apple Computer ( kama una Mac n.k) . Then ukiingiza ID chagua recover password na upate password yako. View attachment 401309
Tatizo linakuja pale utakapo recover na unataka kuiingiza kwenye simu, HAITAKUBALI!, kwa sababu kwenye simu yako kuna ID nyingine ambayo huijui password, so tunarudi kwenye ushauri wa kwanza hapo juu!!

mkuu hii inawezekana kama email ya icloud ipo activated kwenye email nasema hivi coz nina ushahidi na mimi mwenyewe nimefanya kwenye ipad yangu na ndio natumia hadi sasa it is simple nilicho kifanya ni baada ya kuona password ya hiyo email siifahamu nikaingia kwenye icloud web alafu nikaingiza email then forget password nikatuma baada ya mda ikaingia email kwenye mail box yenye link ya kufanya mabadilko ya password na kubadilisha rescue email ,hadi sasa maisha safi tu
mkuu hivi hiyo update ya 9.3.5 ina ukubwa gani maana nilijaribu ku update kwenye ipad yangu naona mb zinaisha tu bila mafanikio

Mkuu halotel kwenye i phone hawana usb hotspot?
Wakuu ni IPhone 4S but haikubali kuhifadhi files za Audio ila kusikiliza nasikiliza vizuri tuu mfano nyimbo
Hili ni tatizo Au ni setting na Kama Ni settings Au tatizo nifanyeje?