Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Kama hakuna pixel basi hii list fake
Simu zenye camera nzuri ni hiz hapa kwa list.
1.Samsung Galaxy note 10 5G

2. Huawei P30 pro

3. Samsung Galaxy S10 5G

4. Honor 20pro

5. Oneplus 7pro

6. Huawei mate 20pro

7. Huawei P30pro

8. Samsung Galaxy S10+
 
si kweli, simu zenye camera nzuri ni nokia 808, lumia 1020, galaxy k zoom, panasonic lumix etc ila zote hizo hazina experience nzuri ya smartphone. zina outdated software na maumbo yake ni makubwa.

kwa hizo hapo mbili note 4 ina camera nzuri zaidi
Kweli kabisa picha ya iphone ukizoom kidogo tu ukungu
 
Hivi
Kitu muhimu zaidi Ni sensor iliotumika, jinsi sensor inavyokuwa kubwa pixel nazo zinakuwa kubwa na hivyo kuruhusu mwanga zaidi na kufanya picha iwe nzuri.

Pia Kuna lens, lens zinafanya Mambo mbalimbali Kama ku focus, kuchukua macro shots, kuzoom etc unahitaji pia lens nzuri, siku hizi Kuna simu nyingi tu zinakuja na lens zaidi ya moja.

Kuna vitu Kama software na alogarithims zilizotumika, Hapa unaigusa simu Kama Google pixel ambayo software yake inafanya Mambo mengi Sana.

Vipo pia vitu vyengine Kama aperture, Flash iliotumika, custom chips za camera, ama processor husika pia inaweza changia ubora wa picha.
Hivi oppo hawapo vizuri kwenye upande wa picha na blur koz kuna oppo f11pro ina camera mbili na 48 mp ila pia kuna galaxy j8 ina 16 mp je na nikaambiwa iyo j8 ndo itakuwa nzuri kwa camera je icho kitu kinawezekana mkuu??
 
Hivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
Kwahiyo pia unaniambia kama member pia hana mpinzani ??
 
Hivi

Hivi oppo hawapo vizuri kwenye upande wa picha na blur koz kuna oppo f11pro ina camera mbili na 48 mp ila pia kuna galaxy j8 ina 16 mp je na nikaambiwa iyo j8 ndo itakuwa nzuri kwa camera je icho kitu kinawezekana mkuu??
Inategemea na model mfano series zao za Reno wanajitahidi camera,

Na hio 48mp ni camera ya kawaida tu imetumika model nyingi za bei rahisi kwenye karibia kila brand, isikushtue, sensor yake ni quadbayer inayofanya pixel binning na picha zake ni 12mp.
 
Zipo zile ambazo hazitumii quad Bayer na si pixel binning Kama sensor za Sony IMX 586
 
Mbona website yao wenyewe sony wanasema ni quad bayer?

Inategemea na model mfano series zao za Reno wanajitahidi camera,

Na hio 48mp ni camera ya kawaida tu imetumika model nyingi za bei rahisi kwenye karibia kila brand, isikushtue, sensor yake ni quadbayer inayofanya pixel binning na picha zake ni 12mp.
Samahi bro nnashida ya kudaka sim kali naomba tuchonge whatsapp namba yangu ni0623011171 asante
 
Inategemea na model mfano series zao za Reno wanajitahidi camera,

Na hio 48mp ni camera ya kawaida tu imetumika model nyingi za bei rahisi kwenye karibia kila brand, isikushtue, sensor yake ni quadbayer inayofanya pixel binning na picha zake ni 12mp.
Na hao redmi kuna redmi note 8 na note 8 pro alaf wakatoa na MI 9T ila zote zina 48 Mp na nilifwatilia kwenye post yako ukasema moja wapo hapo ina camera nzur na picha nzuri je ni ipi kwa hapo itakuwa nzuri na makadirio ya bei yake itakuwa sh.ngap kwa tz
 
Note 8 pro ina 64mp, sensor yake ni nzuri zaidi compare na hizo za 48mp,
 
Back
Top Bottom