Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Uzuri wa Note 8 pro ni simu yenye nguvu sana kwa vitu built in ipo vizuri, ubaya wake inatumia mediatek hivyo itakuwa limited kwenye developer support, kwa sasa port ya GCam ipo kwenye hii xiaomi sema ni version ya zamani, version mpya kuna vitu vingi bado havifanyi kazi. Simu nyingi za kichina zina hardware nzuri ila software si nzuri hivyo ukipata software nzuri kama Gcam inasaidia sana kwenye quality ya picha.

Overall redmi note 8 ni simu nzuri zaidi kushinda iphone 7, sema angalia na wewe mwenyewe unapenda android ama ios.
Mkuu naomba ushauri kati iPhone 8 plus na Mi Note 10, kwa mtu anayetaka kununua mojawapo ungeshauri ipi?
 
Hapo achague kwanza ios na Android anataka ipi?

Then camera kwake ni muhimu kushinda vitu vyote?

Maana mi note 10 ina flagship camera ila soc yake ni midrange tu, hivyo kwenye matumizi ya kawaida haitakuwa flagship level.
 
Mkuu sorry nataka nichukue simu moja kati ya hizi redmi note 7 pro au mi a3 ipi kati ya izo ni nzuri zaidi
 
Hapo achague kwanza ios na Android anataka ipi?

Then camera kwake ni muhimu kushinda vitu vyote?

Maana mi note 10 ina flagship camera ila soc yake ni midrange tu, hivyo kwenye matumizi ya kawaida haitakuwa flagship level.
saada chief mkwqkwa kati ya android lollipop na marshmallow IPI mzuri maana nakuta watu wanalalamika wanataka kurudi lollipop kutoka marshmallow IPI nzur hapo nataka ninunue oppof1plus ambayo inaitwa r9 yenye lollipop5.1
 
Hivi umeshaona huawei mpya iliyozinduliwa majuzi ??? Au unasema tu.....kujifurahisha huawei anampeleka iphone sana , iphone sasa soko limeamia afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
saada chief mkwqkwa kati ya android lollipop na marshmallow IPI mzuri maana nakuta watu wanalalamika wanataka kurudi lollipop kutoka marshmallow IPI nzur hapo nataka ninunue oppof1plus ambayo inaitwa r9 yenye lollipop5.1
Jinsi android inavyozidi kubwa version mpya ndio jinsi inavyokuwa nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom