Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Natumia S8+ kila nikiweka GCam inagoma funguka nifanyaje?
Uzuri wa Note 8 pro ni simu yenye nguvu sana kwa vitu built in ipo vizuri, ubaya wake inatumia mediatek hivyo itakuwa limited kwenye developer support, kwa sasa port ya GCam ipo kwenye hii xiaomi sema ni version ya zamani, version mpya kuna vitu vingi bado havifanyi kazi. Simu nyingi za kichina zina hardware nzuri ila software si nzuri hivyo ukipata software nzuri kama Gcam inasaidia sana kwenye quality ya picha.
Overall redmi note 8 ni simu nzuri zaidi kushinda iphone 7, sema angalia na wewe mwenyewe unapenda android ama ios.
