Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Kuna Simu inaitwa ONE PLUS ni Simu kutoka marekani INA megapixel 50 .. Achaneni na hayo masimu ya kichina
 
Mkuu nisaidie camera nzuri unacheki nini nijifunze
Kitu muhimu zaidi Ni sensor iliotumika, jinsi sensor inavyokuwa kubwa pixel nazo zinakuwa kubwa na hivyo kuruhusu mwanga zaidi na kufanya picha iwe nzuri.

Pia Kuna lens, lens zinafanya Mambo mbalimbali Kama ku focus, kuchukua macro shots, kuzoom etc unahitaji pia lens nzuri, siku hizi Kuna simu nyingi tu zinakuja na lens zaidi ya moja.

Kuna vitu Kama software na alogarithims zilizotumika, Hapa unaigusa simu Kama Google pixel ambayo software yake inafanya Mambo mengi Sana.

Vipo pia vitu vyengine Kama aperture, Flash iliotumika, custom chips za camera, ama processor husika pia inaweza changia ubora wa picha.
 
Kuna Simu inaitwa ONE PLUS ni Simu kutoka marekani INA megapixel 50 .. Achaneni na hayo masimu ya kichina
Simu zenye camera nzuri ni hiz hapa kwa list.
1.Samsung Galaxy note 10 5G

2. Huawei P30 pro

3. Samsung Galaxy S10 5G

4. Honor 20pro

5. Oneplus 7pro

6. Huawei mate 20pro

7. Huawei P30pro

8. Samsung Galaxy S10+
 
Pixel? Na Xperia 1?
 
Ivi mkwawa umesomea izi mambo mana uko na hatari sana sio PC mpak simu uko vzuri but kwa nijuavyo mim sizani kam kuna simu inayopoteza back ground zaid ya digital camera tu kama zipo ni zipo izo tuzifahamu iyo ni canon digital
OPPO f11 pro
 
IMG_7106.JPG

iphone
 
Mkwawa nafikiria kuirudia Microsoft 950xl kama simu yangu ya pili .Je nini madhara endapo nitakua nayo n nijuavyo haipati updates tena .performance yake imekaaje ,Nikipata used kwa aliexpress ni kama Around shilingi. Ngapi au new one naimis window phone ujue
 
Around laki 4 mkuu, hazishuki Sana Bei hizi simu sababu ya camera yake, still Ni competent hata kwa 2019,
 
Naon Bora nibaki huko na niwe na xiaomi pia je ni mpya au zinakua refurbed .Nini madhara ya windows phone kwa sasa katika kizazi hiki ambapo baadhi ya apps developer pia hawatengenez aps huko pia?mfano last time ata Shazam alikua hapatikani tena kwa stooyao.
Around laki 4 mkuu, hazishuki Sana Bei hizi simu sababu ya camera yake, still Ni competent hata kwa 2019,
 
Kitu muhimu zaidi Ni sensor iliotumika, jinsi sensor inavyokuwa kubwa pixel nazo zinakuwa kubwa na hivyo kuruhusu mwanga zaidi na kufanya picha iwe nzuri.

Pia Kuna lens, lens zinafanya Mambo mbalimbali Kama ku focus, kuchukua macro shots, kuzoom etc unahitaji pia lens nzuri, siku hizi Kuna simu nyingi tu zinakuja na lens zaidi ya moja.

Kuna vitu Kama software na alogarithims zilizotumika, Hapa unaigusa simu Kama Google pixel ambayo software yake inafanya Mambo mengi Sana.

Vipo pia vitu vyengine Kama aperture, Flash iliotumika, custom chips za camera, ama processor husika pia inaweza changia ubora wa picha.
Kwa mtumiaji Wa kawaida kama Mimi nikienda dukani Simu yenye camera nzuri najuaje..
 
Back
Top Bottom