Chief-Mkwawa naomba ushauri wako tafadhali,nahitaji simu ambayo ni high quality kadri ya budget yangu ilivyo,bajeti yangu ni kati ya 500k-550k,katika ufukunyuzi wa hapa na pale niliona watu wakiisifia sana OPPO F5 ambayo inauzwa around bei hiyo,nami nilipochimbua nikavutiwa specs zake.Izingatiwe kuwa nahitaji simu ambayo walau inatunza chaji na haipati moto coz mie ni mtumiaji sana wa internet,pia camera bora kwa ajili ya issue ya kuscan documents kiofisi zaidi.Kwa neno lako litanifanya nisibahatishe kununua simu.AHSANTE