Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,070
- 43,513
Kwa maduka yetu Ni Ngumu, Ila maduka mazuri au kwa wenzetu huko duniani kunakuwa na demo phone ambayo unaweza ukaitest kabla hujanunua.Kwa mtumiaji Wa kawaida kama Mimi nikienda dukani Simu yenye camera nzuri najuaje..
Kwa maduka yetu Kama ya Aggrey Ni vyema kuangalia reviews online kabla hujanunua.