Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Hata
Chief-Mkwawa naomba ushauri wako tafadhali,nahitaji simu ambayo ni high quality kadri ya budget yangu ilivyo,bajeti yangu ni kati ya 500k-550k,katika ufukunyuzi wa hapa na pale niliona watu wakiisifia sana OPPO F5 ambayo inauzwa around bei hiyo,nami nilipochimbua nikavutiwa specs zake.Izingatiwe kuwa nahitaji simu ambayo walau inatunza chaji na haipati moto coz mie ni mtumiaji sana wa internet,pia camera bora kwa ajili ya issue ya kuscan documents kiofisi zaidi.Kwa neno lako litanifanya nisibahatishe kununua simu.AHSANTE
Ram yake ni6 nyingine 8 ko nahis alinishaur vizur
 
usinunue oppo mkuu, hiyo ni kama tecno tu ya china, yani ni simu ya low classed people china, kwa hiyo 500k una wide range ya simu kali, nunua google pixel XL, ukishaipata rudi huku utoe mrejesho tuone utavokuwa na furaha

Asa google pixel gani ni lak 5 bhana izo ni bei sanaa
 
Attachments

  • Screenshot_20191023-090630.png
    Screenshot_20191023-090630.png
    22.2 KB · Views: 4
Kaka basi tusaidiane contact zangu ni 0623011171 wasap
Samahi bro nnashida ya kudaka sim kali naomba tuchonge whatsapp namba yangu ni0623011171 asante
B

Basi nicheki wewe. Mkuu.........
Usiwe mpuuzi kiasi hicho, kama unashida kuwasiliana nae binafsi nenda PM mtachati huko atakuelekeza kila kitu,

Kama hujua kuwasiliana kwa PM sema tukuelekeze...

Unafikiri Facebook hapa ebo!
 
si kweli, simu zenye camera nzuri ni nokia 808, lumia 1020, galaxy k zoom, panasonic lumix etc ila zote hizo hazina experience nzuri ya smartphone. zina outdated software na maumbo yake ni makubwa.

kwa hizo hapo mbili note 4 ina camera nzuri zaidi
True chief
 
Mkuu kwa bajeti ya 300k mpaka 400k naweza pata simu ipi nzuri hasa ukizingatia upande wa camera na utunzaji wa chaji. lakini isiwe kati ya kampuni ya Samsung or huawei
 
Hivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
oppo the best ...iphone haioni ndani
 
Mkuu kwa bajeti ya 300k mpaka 400k naweza pata simu ipi nzuri hasa ukizingatia upande wa camera na utunzaji wa chaji. lakini isiwe kati ya kampuni ya Samsung or huawei
Redmi note 8, realme 5,
 
Ukichukua Google pixel 4 kisha ukija kwenye camera utagundua kuwa iPhone ni trash
 
Kati ya redmi note 8 pro vs iphone 7plus ipi inapiga picha nzur na ipi iko worth kwa 2019?
Ni kweli mkuu, redmi note 8 ni choice nzuri zaidi. Na kama unapata redmi note 7 pro kwa bei nzuri ni bora zaidi.
 
Kati ya redmi note 8 pro vs iphone 7plus ipi inapiga picha nzur na ipi iko worth kwa 2019?
Uzuri wa Note 8 pro ni simu yenye nguvu sana kwa vitu built in ipo vizuri, ubaya wake inatumia mediatek hivyo itakuwa limited kwenye developer support, kwa sasa port ya GCam ipo kwenye hii xiaomi sema ni version ya zamani, version mpya kuna vitu vingi bado havifanyi kazi. Simu nyingi za kichina zina hardware nzuri ila software si nzuri hivyo ukipata software nzuri kama Gcam inasaidia sana kwenye quality ya picha.

Overall redmi note 8 ni simu nzuri zaidi kushinda iphone 7, sema angalia na wewe mwenyewe unapenda android ama ios.
 
Back
Top Bottom