Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,449
- 9,744
Ha ha haBongo bahati mbaya unaishia kusema IPhone kiboko hutupii hata picha moja ulopiga tuone huo ukiboko
Pambana na tecno yako
Ha ha haBongo bahati mbaya unaishia kusema IPhone kiboko hutupii hata picha moja ulopiga tuone huo ukiboko
Pambana na tecno yako
Hii ni iphone 6Kuna vocha atakaepatia hii ni camera ya simu ganiView attachment 1120258View attachment 1120259
Hamna Camera humu yaani imeshindwa hata kuonyesha maneno yaliyo kwenye hilo Bango hapo.Kuna vocha atakaepatia hii ni camera ya simu ganiView attachment 1120258View attachment 1120259
Nimeupload jf zimepungua quality.. kwangu zina zaid ya 5Mb kila picha... kwny JF zina 60kbHamna Camera humu yaani imeshindwa hata kuonyesha maneno yaliyo kwenye hilo Bango hapo.
JF sina hakika sana kama inapunguza quality kama whatsapp pia sio sababu ya kufanya hayo maneno yasionekane boss.Nimeupload jf zimepungua quality.. kwangu zina zaid ya 5Mb kila picha... kwny JF zina 60kb
Hakika...Tz hawazishiki hiz simu nafikir ni sababu za ujiwe kuwa mwingi!! Ni Simu zenye best camera sanagoogle pixel Hana mpinzani kwasasa
mkuu tafuta siku hata mtu ana simu kama s5 kupanda, note 4 kupanda, lg g2 kupanda etc halafu muombe uangalia camera yake, hio j8 ninayo hapa camera yake ni mbaya kupita maelezo.
Kama camera Ni priority Wana series za camera zinaitwa CC Kuna CC9 na CC9e, ndio zimetoka Hivi karibuni hazijasambaa Sana.Hivi mkuu una experience na xiaomi vp camera zake nataka nitest pia
Hivi mkuu una experience na xiaomi vp camera zake nataka nitest pia
Hii camera inapoteza background lakini sio nzuri sababu hio blur haina depth.Kwani katika izo simu zote mlizotaja na camera zake na pixel zake je kuna yoyote inayopoteza back ground kiasi iki nimekuuliza nataka kujua
Ivi mkwawa umesomea izi mambo mana uko na hatari sana sio PC mpak simu uko vzuri but kwa nijuavyo mim sizani kam kuna simu inayopoteza back ground zaid ya digital camera tu kama zipo ni zipo izo tuzifahamu iyo ni canon digitalHii camera inapoteza background lakini sio nzuri sababu hio blur haina depth.
Ukipata simu za kisasa zenye times of flight camera (tof) hio blur inakuwa na depth, yaani kitu kilichokuwa focused kunakuwa clear, Cha nyuma zaidi blur inakuwa kubwa zaidi, Cha katikati, blur inakuwa size ya Kati etc, na sio focus na blur tu Kama picha yako.
Mfano. Angalia hii picha
![]()
Mtu wa mbele ndio focus ilipo, ukiangalia huyo mtoto wa nyuma blur tayari imeanza lakini si Sana, jinsi mtu alivyo nyuma zaidi ndio jinsi blur inavyoongezeka, Kama real life.
Ndio mguu digital (DSLR) Zina lensi maalumu za kazi hizo, na zinatoa picha nzuri zaidi. Na nafkiri brand zote zipo vizuri kwenye hii Mambo as long as ni DSLR na Zina lens husika, Sony, Nikon, Canon, Panasonic etc.Ivi mkwawa umesomea izi mambo mana uko na hatari sana sio PC mpak simu uko vzuri but kwa nijuavyo mim sizani kam kuna simu inayopoteza back ground zaid ya digital camera tu kama zipo ni zipo izo tuzifahamu iyo ni canon digital
Lens zake nazo ni kubwa ni vile ilivyo camera ya simu ndio lens ya digital camera Bonge la lensNdio mguu digital (DSLR) Zina lensi maalumu za kazi hizo, na zinatoa picha nzuri zaidi. Na nafkiri brand zote zipo vizuri kwenye hii Mambo as long as ni DSLR na Zina lens husika, Sony, Nikon, Canon, Panasonic etc.
Xenon watanishawishi, ila soon Xiaomi nae atakuja na camera nzuri, wote wamehamishia R&D zao Finland.Naona Huawei wanakuja kasi kuteka soko la simu kwa kamera Bora, HUAWEI MATE 30 PRO imewekewa 40MP mbili yenye f1.5 halafu wameweka XENON flash