bill Shnky
Member
- Dec 12, 2017
- 65
- 37
Napenda kuuliza wana JF kabla sijanunua iPhone ambao mmezitumia kiustadi ,je hazichemki ukiwa kwwnye matumizi nayo ata kama kwa mda mrefu ,coz kitu kuchemka kwa simu huwa sipendi .
Kwa wanaozijua iPhone msaada please
Kwa wanaozijua iPhone msaada please