Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,357
Hao watu wanataka aitumie simu kama computer za work station. Ndio maana wakisikia simu ina 12GB RAM akili haikai sawa.2yrs ni miaka mingi sana kitechnologia.
ios 13 itakaa mpaka kwenye 6s yenye ram 2gb,ndio maana nikakuuliza 4gb za nini kwa wazee wa customization