iPhone 11... kuvunja rekodi?

Now iphone kama tecno tu zimejazana kibao mtaani na bei yake utabaki kushangaa tu....
Nimenunua 6s plus kwa laki tatu
 
Apple ni mzee wa kutengeneza njia, samsung alikuja na curved display hakuna aliye ishobokea. Apple alipotoa iphone X ikiwa na notch display basi naona ndiyo trend now hata samsung katosa curved display naye ana water drop notch.
Wanazingua tu. Hawana jipya.
 
Apple ni mzee wa kutengeneza njia, samsung alikuja na curved display hakuna aliye ishobokea. Apple alipotoa iphone X ikiwa na notch display basi naona ndiyo trend now hata samsung katosa curved display naye ana water drop notch.
Notch simu ya kwanza Ni sharp, then akafuatia essential then iPhone, so sio Apple aliekuwa wa kwanza. Na display ya iPhone x imetengenezwa na Samsung. Kabla ya Hapo ilikuwa huwezi kupinda, kukunja kukata display kwa technology ya kawaida ya display, then kukatokea breakthrough ya Oled za plastic ndio maana wakaweza kufanya hivyo. Hii breakthrough haifanywi na watengeneza simu Bali watengeneza display Kama kina Samsung, LG, sharp etc Wakina Apple wao wanatoa tu order kutokana na technology ambayo ipo sokoni.
 
kama vigezo vyote vitakuwa sawa,wa lita moja atakuwa vyema.isijekuwa ni scania vs toyota land cruiser.
Hata ikiwa Scania vs Toyota pardo, bado aliekuwa vyema anabakia yule alotumia mafuta machache kufika mbali
 
usinambie ios 13 inahitaji 4gb ram
It might need 4Gb ram, lets wait and see. Its not like others with 8Gb of rams and after 2 years you cant get an upgrade to the latest OS so you have to resort to underground soultions :)
 
Sio kweli..hizi simu kubwa zote zina curved display, OnePlus 7 Pro,Huawei Mate 20 Pro ,Huawei P30 Pro,Nokia 8 Sirocco,oppo find X,Sony Xperia XZ3,LG V30+

Alaf hiyo notch apple yeye sio wa kwanza...
Apple ni mzee wa kutengeneza njia, samsung alikuja na curved display hakuna aliye ishobokea. Apple alipotoa iphone X ikiwa na notch display basi naona ndiyo trend now hata samsung katosa curved display naye ana water drop notch.
 
Apple ni mzee wa kutengeneza njia, samsung alikuja na curved display hakuna aliye ishobokea. Apple alipotoa iphone X ikiwa na notch display basi naona ndiyo trend now hata samsung katosa curved display naye ana water drop notch.
Ndio faraja mnayojipa huku apple akiendelea kuachwa nyuma na makampuni yaliyoibuka hivi karibuni. Wakati Samsung, Oneplus, Honor, Huawei na wengine wakitoa display za maana na techmolojia ya maana nyie mnajifariji eti apple anatengeneza njia.

Kwa simu za jana hapo apple katengeneza njia gani? Camera 3 tayari ziko sokoni muda, wide angle camera ziko sokoni muda mrefu, night mode ziko sokoni muda mrefu, ni kitu gani apple sasa anaweza kuigwa? Yeye ataishia kuwauzia misimu ya teknolojia ya miaka 3 nyuma huku akiwapiga bei.
 
Hata ikiwa Scania vs Toyota, bado aliekuwa vyema anabakia yule alotumia mafuta machache kufika mbali
So vitz Ni nzuri Kushinda V8?

Kikawaida iOS inatakiwa ikae na chaji zaidi sababu Ni closed system, haina true multitasking, App haziwezi ku access files za app nyengine etc na iPhone Zina vioo vyenye resolution ndogo, SOC zake zinatumia efficiency manufacturing process etc

Lakini Cha ajabu hazikai na chaji compare na alternative za Android.
 
It might need 4Gb ram, lets wait and see. Its not like others with 8Gb of rams and after 2 years you cant get an upgrade to the latest OS so you have to resort to underground soultions :)
2yrs ni miaka mingi sana kitechnologia.

ios 13 itakaa mpaka kwenye 6s yenye ram 2gb,ndio maana nikakuuliza 4gb za nini kwa wazee wa customization
 
So vitz Ni nzuri Kushinda V8?

Kikawaida iOS inatakiwa ikae na chaji zaidi sababu Ni closed system, haina true multitasking, App haziwezi ku access files za app nyengine etc na iPhone Zina vioo vyenye resolution ndogo, SOC zake zinatumia efficiency manufacturing process etc

Lakini Cha ajabu hazikai na chaji compare na alternative za Android.
Ikiwa lengo ni kufika tu na utumiaji mzuri wa mafuta, basi achia mbali IST, hata Vespa tutasema ina utumiaji mzuri wa mafuta. Hapa tunachozungumza ni utumiaji wa resources.

Hata tecno unakuta zina specs kubwa ila hazifui dafu kwa iphone 5 tu, kwanini unadhani?

Labda the quality of the battery sio nzuri au may be on the background, the OS is doing something
 
2yrs ni miaka mingi sana kitechnologia.

ios 13 itakaa mpaka kwenye 6s yenye ram 2gb,ndio maana nikakuuliza 4gb za nini kwa wazee wa customization
ni mingi sana, kuna alot of changes zinaweza kutokea in 2 years. Lakini kwamba eti umenunua simu milioni 2 halafu after years, unasema kuwa "ni miaka mingi sana kitechnologia" itabidi tuulize, kwanini tuende underground kutafuta solution wewe ulietuuzia milioni 2 unakosa kutupa solution?

Yeah, huo ndio Uzuri wa iphone, ios 13 kukaa kwenye iphone 6s yenye 2gb of ram. may be android haiwezi kuweka latest OS in 2 GB ram of phones? au are they using the numbers to fool people?

Surely, not all features will work in iphone 6s sio. Kwani hata windows unaweza kuweka kwenye devices zenye specs ndogo tu, ikafanya kazi, lakini mwisho wa siku ukatamani kuvunja keyboard au mouse.
 
Ikiwa lengo ni kufika tu na utumiaji mzuri wa mafuta, basi achia mbali IST, hata Vespa tutasema ina utumiaji mzuri wa mafuta. Hapa tunachozungumza ni utumiaji wa resources.

Hata tecno unakuta zina specs kubwa ila hazifui dafu kwa iphone 5 tu, kwanini unadhani?
Sababu iPhone 5 Ina processor kubwa? Na storage yenye Kasi zaidi?

Kwenye geekbench single core score iPhone za zamani Kama 5 na 5s Ni 900 mpaka 1500 zinacheza Hapo, processor za Android za cortex A53 hazijafikia perfomance hio na Tecno yenye processor zaidi ya hio ninavyofahamu Ni phantom moja Hivi ilikuja na x25 mediatek na Bei Kama laki 8 Hivi. Zaidi ya asilimia 99 ya Tecno hazina processor Kama iPhone 5/5s, unashangaa Nini iPhone 5 ikiwa faster. Najua wewe argument zako zipo kwenye ram tu linapokuja suala la speed na una ignore kabisa factor nyengine.
 
ni mingi sana, kuna alot of changes zinaweza kutokea in 2 years. Lakini kwamba eti umenunua simu milioni 2 halafu after years, unasema kuwa "ni miaka mingi sana kitechnologia" itabidi tuulize, kwanini tuende underground kutafuta solution wewe ulietuuzia milioni 2 unakosa kutupa solution?

Yeah, huo ndio Uzuri wa iphone, ios 13 kukaa kwenye iphone 6s yenye 2gb of ram. may be android haiwezi kuweka latest OS in 2 GB ram of phones? au are they using the numbers to fool people?

Surely, not all features will work in iphone 6s sio. Kwani hata windows unaweza kuweka kwenye devices zenye specs ndogo tu, ikafanya kazi, lakini mwisho wa siku ukatamani kuvunja keyboard au mouse.
kwahiyo sasa mkuu unazungumziaje 4gb ram ilhali simu ya iphone ina uwezo wa kutumia even 2gb only?je una haja yoyote ya kununua iphone x sasa wakati 6s tu yatosha?

maana unabeza sana kwamba tunapewa numbers tu perfomance sifuri.atleast mwakani tu niaweza kununua s10 plus badala ya 8plus iliyopo.lakin wewe miaka mitatu itapita huwezi kununua iph 11 sababu wameongeza idadi ya camera tu.
 
Sababu iPhone 5 Ina processor kubwa? Na storage yenye Kasi zaidi?

Kwenye geekbench single core score iPhone za zamani Kama 5 na 5s Ni 900 mpaka 1500 zinacheza Hapo, processor za Android za cortex A53 hazijafikia perfomance hio na Tecno yenye processor zaidi ya hio ninavyofahamu Ni phantom moja Hivi ilikuja na x25 mediatek na Bei Kama laki 8 Hivi. Zaidi ya asilimia 99 ya Tecno hazina processor Kama iPhone 5/5s, unashangaa Nini iPhone 5 ikiwa faster. Najua wewe argument zako zipo kwenye ram tu linapokuja suala la speed na una ignore kabisa factor nyengine.
Mimi argument yangu ni "Making the most of your resource"

Sasa mimi, achilia iPhone, uniletee Tecno sasa ivi yenye android in 1 GB of ram, lakini it can perform like a 6Gb of rams kwenye samsung, basi nitakwambia Tecno is efficient kuliko Samsung.

Si ignore factor nyengine ambazo zinaweza kufanya simu iwe faster. tatizo lenu mnakuja hapa nakusema " 2019 Iphone bado anatumia 4Gb rams" "2019 bado iphone in 720p" "2019 bado iphone ndo inakuja na dark mode" n.k

Mimi naelewa kuwa processor ina play its role kwenye perfomance, lakini hutowahi kunikuta hata siku moja nikisema "Android hakuna haja ya kuwa na powerful processor kwa kazi inazofanya" tatizo linakuja apa, unajisifia kuwa umekuja na 8Gb of rams 2017, leo 2019 simu ile haipati update?
 
kwahiyo sasa mkuu unazungumziaje 4gb ram ilhali simu ya iphone ina uwezo wa kutumia even 2gb only?je una haja yoyote ya kununua iphone x sasa wakati 6s tu yatosha?

maana unabeza sana kwamba tunapewa numbers tu perfomance sifuri.atleast mwakani tu niaweza kununua s10 plus badala ya 8plus iliyopo.lakin wewe miaka mitatu itapita huwezi kununua iph 11 sababu wameongeza idadi ya camera tu.
Iphone 6s nafikiri hio ndio itakuwa OS yake ya mwisho kama ntakuwa sijakosea, kwaio ipo haja ya kununua iphone x ambayo bado ina more years to get updates. Wewe unanunua s10 kwa kitu gani kutoka 8plus?

Kununua new iphone each year ni choice ya mtu mwenye uwezo tu.
 
Mkuu kwa hio unataka kusema, kua ni heri pia kwa android zikawa zinapata updates kwa mda mref zaid

Back
Top Bottom